UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

Jamaaa naskia wanaingia choccni wanatoka.....hawajui hata cha kufanya
 
nashauri ulimboka ampigie simu abedi na amwambie kuwa amerudi salama
 
I WILL ALWAYS MISS YOU SO MUCH!

MWANAHALISI
ni gazeti gani tena lenye uthubutu wa kutupa habari za chini ya uvungu?
 
Kweli Mungu mkubwa wahaini wa CHUKUA CHAKO MAPEMA walitaka kumbandikizia mauti kiongozi lakini MUNGU kawaonesha CHUKUA CHAKO MAPEMA kwamba they have planted seeds for their own destruction.
 
Time has come
to hear the truth
and more truth.
Keep in touch
hapa hapa
JF where we dare say the truth
Loud and Clear.
Over and Out.
 
Wanajaribu kila mbinu ili kuficha huu uovu ambao dola imeufanya dhidi ya raia asiye na kosa! Lakini dalili zinaonesha saa ya kudharilika na kuumbuka imewadia. Nguvu ya mungu isimame juu yako ili kila ovu na baya litakaloelekezwa kwako lishindwe kama lilivyoshindwa na kushindikana jaribio la kutaka kukuua.
 
Back
Top Bottom