Updates kutoka Sahara - Mwanza mkutano wa CHADEMA

Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.
Kati yamachoko we namba moja.
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Rejao utawapa kazi gani?
1. Hamna kilimo cha umwagiliaji maana mvua hainyeshi hawawezi kulima.
Zamani Geita mvua zilikuwa mbili kwa mwaka. Hekima yenu ikawaita wazungu wavune dhahabu wakamaliza misitu ya asili na sasa hata mvua moja kwa mwaka taabu
2. Hakuna viwanda hata visindike hao Sangara wanaomalizwa kanda ya ziwa na hakuna viwanda vya nguo maana mliua vyote
3. Hamna viwanda vidogo vidogo/ Sido ili kuwaweka vijana busy
At least Chadema wanaweka busy mikutanoni na kuwaelimisha kuwa dhahama zote hizi wanazopata zimeasisiwa na CCM
 
Picha pls?..... but safi sanaaa makamanda, 2015 naona mbali kwenye ukombozi.
 
Anahutubia Godbless Lema:anadai, magereza alikutana na kijana under 26 aliyefungwa maisha kwa kesi ya kubambikwa ya ubakaji, japo ukweli ni kuwa kijana huyo alikuwa ana mahasianoya kimapenzi na binti wa Mary Nagu, hivyo alifungwa ili kumkomesha....anaendelea, kwa jinsi watu walivyochoshwa na CCM, JK asipokuwa makini, Salma JK atachukua kadi ya CHADEMA.Slaa anaanza kuhutubia, I'll be back..
 
Mkuu tupatie vitu kamili kama intellectual bwana, pia usisahau kutupia picha humu.
 
Jk amepata brain atrophy due to IDS na ndiyo maana hata hoja za msingi anasema ni upepo utavuma na kwisha wenyewe.
Taifa linaendeshwa na mgonjwa unategemea nini. Next time rais lazima atangaze kama anachronic disease hastahili na katiba lazima ielezee sifa hii. Ikulu si mahali pa kujiuguza
 
Mikutano kila siku Mwanza? Hebu waacheni wananchi wafanye kazi/wapumzike this w.end. Acheni kuwachosha na upuuzi wenu usio na manufaa kwa wananchi. Kama mmekosa cha kufanya niambieni nitawaapatia.

Na wewe acha kutuchosha hapa JF kwa kutuandikia ***** wako hapa tumechoka, kama umekosa la kufanya niambie nikupatie:mad2:
 
Inasikitisha sana hii habari Kama ni kweli. Hata ile hukumu ya Babu Seya tunasikia nayo ina utata mkubwa. Kama ilifika viongozi wa nchi ku-influence kwenye kunyima haki, basi tupo pabaya sana. Kwa mambo Kama haya ni minimum tufanyaje mabadiliko na kuyarekebisha maramoja.
 
Anahutubia Godbless Lema:anadai, magereza alikutana na kijana under 26 aliyefungwa maisha kwa kesi ya kubambikwa ya ubakaji, japo ukweli ni kuwa kijana huyo alikuwa ana mahasianoya kimapenzi na binti wa Mary Nagu, hivyo alifungwa ili kumkomesha....anaendelea, kwa jinsi watu walivyochoshwa na CCM, JK asipokuwa makini, Salma JK atachukua kadi ya CHADEMA.Slaa anaanza kuhutubia, I'll be back..

Kwa hiyo hotuba ya Lema huko Sahara Mwanza ndio hiyo...sasa inahusu watu Mwanza ukawambie habari za mapenzi tena ulivyokuwa mahabusu Arusha.

Hakuongelea mfumuko wa bei na kuanguka kwa uchumi duniani.

Kasemaje kuhusu kuwainua wana Mwanza kiuchumi?
 
Back
Top Bottom