Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

na wasipo kuwa macho wasimamizi utasikia kesi zinaanza ukishindwa bora uwe mpole kama banda kalia siku mbili halafu ya tatu ameshazoea..

kila la kheli wapiganaji wote igunga..
 
Mkuu, Mungu ni wa wote, kwenye ili Mungu anatuachia viumbe vyake tutumie akili zetu alizotupa ndio zituongoze kwenye mambo yetu, binadamu sio kama Nyumbu!
huwa ukinyimwaga posho akili inakurudia kumbe!!
Leo ni siku ya wazee, huyu mzee mumrudishe kwao Ludewa na ile choper yenu akapumzike bana!!
mangula.jpg
 
Nimeongea na wakazi wa Igunga, wengi wanasema kwa kweli kesho ni siku ya kuiadhibu CDM.
Wananiambia msidhani sisi wana Igunga ni wajinga kiasi hicho, hatuwezi kumpeleka Chui katika zizi letu lenye mbuzi.
Miaka yote hata kabla sijazaliwa hapa Igunga tumeishi kwa amani na upendo sikuwahi kuona vurugu kama hizi za kuwakata mapanga binadamu wenzao nakufanyiwa vitendo vya kinyama kumwagia watu Tindikali
kichenchede.
 
time will speak for itself if magamba will continue to dominate or makamanda it our time to shine. God Bless Tz, God Bless Igunga
 
Siri ipo kwenye ulinzi wa kura mpaka zitakapohesabiwa na kutangazwa mbele ya hadhara.

Tuige mtindo wa watu wa Mara kutoondoka kituoni zaidi tu ya kupiga hatua kumi nyuma. Jiulize unapoondoka kutuoni kura zako huwa unamwachia nani akulindie wakati tume, polisi na vyombo vingine vyote ni vya CCM.

Ulinzi na usalama wa kura ni haki ya msingi ya wapiga kura popote pale!!!!!!!!!!!!!!!

time will speak for itself if magamba will continue to dominate or makamanda it our time to shine. God Bless Tz, God Bless Igunga
 
Siasa UCHWARA za watu kufikia mahala kuteka teka wengine ndani ardhi hii hii ya Mwalimu Nyerere, kwel kama taifa tumefilisika kisiasa na kifikra.

Cha msingi kila mmoja wetu tujiandae kwenda kufunzwa demokrasia katika utekelezaji wake halisi pengine na VIJI-TAIFA kama vile Visiwa Vya Komoro, jirani zetu wa Bamba Bay kama si kutia timu kabisa kule Kitwe.

Kisiasa hatuna thamani tena, hatuheshimiki kitu kwa kuwa hivi sasa dereva wa fikra zetu ni dhuluma, uroho wa madaraka na tamu zake, umwamba wa kutumia vyombo vya dola visivyo.

Hakuna nidhamu na unyoofu wa kisiasa tena bali ni kwamba tumeba kuiga kila tulionalo likitendeka kivurumai katika mataifa mengi jinsi tuonavyo kwenye mi-TV zetu. Hivi sasa kipimo cha uzalendo wa mtu NI KIASI GANI ANAWEZA KUKISAIDIA CCM IIBE KURA NA RASILMALI nyingineza na kuwawekea siri kama hizo dhuluma. Huo ndio uzalendo wa kisasa nchini wa kuteka huyu na kuteka yule.

Ama kwe taifa tunapofilisika ki-maadili na kubakia tu porojo na ushindani wa kupanga maneno yaliojaa joto tupu ...!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kesho wanachadema msikimbie

maana fedheha kubwa ni kesho na nnawasikitikia sana, maana kwa kweli kesho tunakata kilimi limi cha chadema
 
CCM wanajua wanapoteza Igunga. Ndo maana wanampeleka mwizi wa kura Mkapa akaokoe jahazi kwa wizi.

Aliua Zanzibar anataka aue na Igunga.

This time atafulia tu.

msimu huu lazima kieleweke mkuu. ata sidhani kama watachakachua kirahisi..viva chadema
 
Wanaigunga watamchagua wanae mtaka, na kama kawaida ya uchaguzi, ahadi kibao lakini hakuna linalo tekelezwa. Waliopata kwenye huu uchaguzi ni

wamekula wali, wamepata vijihela na wameona helikopta zinapishana kama bajaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom