Updates: Kinachotokea bungeni

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Baadhi yetu hatuna access na TV kwa sasa, na tungependa kujua kinachojadiliwa bungeni...

Kila nikifungua JF nakutana na Huyu amlipua yule (watu wanalipuliwa kila siku lakini hawafi), yule atikisa bunge, huyu ajibizana na spika...

Hivi theme ya kikao cha sasa cha bunge ni nini na nini kinajadiliwa huko... Au wabunge wanachukua wamekaa Dodoma kulipuana?

Mwenye updates tofauti na milipuko bungeni please...
 
Back
Top Bottom