Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Katika wiki ya pili ya kampeni uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru East vyama vya siasa vimeendelea kuwanadi wagombea wao kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Hadi kufikia sasa CCM ndiyo chama pekee ambacho kimejihakikishia kushinda uchaguzi huo kupitia mgombea wake Sioi Sumari.

Chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) kinaomba huruma ya wananchi wa jimbo hilo angalau kipate japo kura 3500 ili kujenga imani kwa wafadhili wao wa nje ambao kwasasa wameanza kukipa mkono wa kwa heri baada ya kugundua chama hicho hakina uwezo wa kuongoza dola ya Tanzania.

Kutokana na Chadema kukosa mvuto na uungwaji mkono mashabiki na wapenzi wake wameanza kukosa updates za uhakika kutoka arumeru east kutokana na kushuku ama kupoteza umaarufu wa mgombea wao Mr Nassary kila kukicha. Chanzo kikubwa cha kudorora kwa kampeni hizo ni ukata unachokikabili chama cha Chadema na ufisadi wa ruzuku unaofanywa na viongozi wakuu wa chama hicho.

Kwapamoja tuiunge mkono CCM kuendelea kutawala nchi hii kwa maendeleo ya Watanzania na tuepukana na vibaraka wa ukoloni Chadema ambao wanafanya siasa kwa maslahi yao binafsi.

Kwa mwaka 2012 Wanaarumeru watakuwa wakwanza kuwakataa chadema na ukoloni mambo leo wao

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake
 
Junior Member Array

Join Date : 13th March 2012

Posts : 9

Rep Power : 303
Likes Received1Likes Given
UMETUMWA?????????????
 
newton2r.gif
 
Subiri matusi ya watu waliochoka kudanganywa, au umegeuza gazeti juu chini, na kuona dege linadondoka badala ya kupaa
 
Yani umekaa kabisa ukaandika huu upiuzi??

Si afadhali ungepiga punyeto Kama ulikisa mtu wa kukushughulikia???!
 
Du wewe na mambo yako yakubuni ya kuifagilia CCM unaboa<mimi nipo Arumeru CDM mpaka sasa inapeta sana.Magamba chaliiii
 
Katika wiki ya pili ya kampeni uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru East vyama vya siasa vimeendelea kuwanadi wagombea wao kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Hadi kufikia sasa CCM ndiyo chama pekee ambacho kimejihakikishia kushinda uchaguzi huo kupitia mgombea wake Sioi Sumari.

Chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) kinaomba huruma ya wananchi wa jimbo hilo angalau kipate japo kura 3500 ili kujenga imani kwa wafadhili wao wa nje ambao kwasasa wameanza kukipa mkono wa kwa heri baada ya kugundua chama hicho hakina uwezo wa kuongoza dola ya Tanzania.

Kutokana na Chadema kukosa mvuto na uungwaji mkono mashabiki na wapenzi wake wameanza kukosa updates za uhakika kutoka arumeru east kutokana na kushuku ama kupoteza umaarufu wa mgombea wao Mr Nassary kila kukicha. Chanzo kikubwa cha kudorora kwa kampeni hizo ni ukata unachokikabili chama cha Chadema na ufisadi wa ruzuku unaofanywa na viongozi wakuu wa chama hicho.

Kwapamoja tuiunge mkono CCM kuendelea kutawala nchi hii kwa maendeleo ya Watanzania na tuepukana na vibaraka wa ukoloni Chadema ambao wanafanya siasa kwa maslahi yao binafsi.

Kwa mwaka 2012 Wanaarumeru watakuwa wakwanza kuwakataa chadema na ukoloni mambo leo wao

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake

Umelipwa shs ngapi? Au ni mmoja wa viongozi wa ccm? Maji ya shingo arumeru umekuja kujipa moyo hapa! Pole sana
 
Wakuu, niko Arumeru kikazi tangu kampeni zianze!

Tukiacha siasa uchwara CCM inahitaji nguvu za giza kushinda uchaguzi huu! Sina haja ya kuwaficha hii ndio hali halisi Jana nilipata taarifa za mkutano wa kampeni wa CCM uliokuwa ufanyike eneo moja maarufu kama barabara nne (4 ways) kata ya Nkoanrua, nilienda nikakuta watu watatu tu, baadae kidogo wakaongezeka na kufika saba, ilibidi mkutano uahirishwe! Nimeshuhudia sijaambiwa!

Juzi kulikuwa na mkutano wa CCM kata hiyo hiyo maeneo ya moivaro (sikuweza kufika) niliambiwa walifika watu wasiozidi 30, nikatajiwa kwa majina huku vijana wakiwa 12! Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo kama kawaida yakitolewa kwagari moja dogo likiwa limetanguliwa na pikipiki wakaenda eneo la soko la ndizi ulikofanyikia mkutano wa CDM jumapili iliopita. Walipofika tu, majira ya saa nne hivi, akina mama wafanyabiashara wa mbogamboga sokoni wakapiga ukunga wa wezi haoooo! mara ikaja gari ya polisi wakawahoji wakasema CCM wanakuja kutufanyia fujo sokoni na kutunyang'anya pesa zetu, tumewachoka hatuwataki. polisi waliishia kumchukua mama mmoja akatoe maelezo na kisha kurejea baada ya mda mfupi!

Hiyo ndio hali halisi! wadau msitegemee TBC1 na gazeti la uhuru kusoma upepo!

Pia mods naomba uwaelekeze kwa upendo madogo wanao-derive formula humu, bila shaka sio jukwaa lao. Si unajua tena madogo wako likizo! Aah shule nazo zifungue waishie zao!

Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom