Update ya mauaji ya RPC Mwanza iko wapi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
kuna yule jamaa Manumba aliyewaambia polisi kulipiza kisasi,naomba kama wameweza kulipiza au wanaendelea kuwabana mapumbu watuhumiwa kama kawaida yao??naomba kujua nini kinaendela Wakuu
 
Polisi hawawezi kulipiza kisasi kwa sababu waliomuua RPC huyo ni polisi tena wenye vyeo vidogo mno, wamemuua boss wao kwa sababu jamaa alikua akitembea na wake zao.
Hao watuhumiwa walioshikwa hawahusiki na chochote hapo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ripoti ya polisi imeonyeshs RPC Barlow aliuawa kwa sababu ya UZINZI!Hawatatoa taarifa kwa UMMA hata iweje!
 
jaman marehemu si uwa anasifiwa baada ya kufa,mbona hali ya ewa imeanza kuchafuka,marehemu alikuwa mkakamavu,mpenda watu wote na wake za watu pia,tumuombee apumzike vizuri,update ya mauaj aijatajwa tena kwa sababu marehemu akuuliwa na majambaz kama ilivyosemwa,bali ni bifu baina yake na askari wenzake kutokana na kuibiana mke,
iliwai tokea mwaka jana uganda,kwa mkuu wa jeshi general kazini ambaye aliuliwa na nyumba ndogo kwa kupigwa na kitukizito kutokana na ugomvi uliozuka baina yao na issue ikafa gafla,mara nyingi vifo vinavyotokana na kuibiana wanawake uwa vinavunja moyo wa tume kusaidia uchunguz
 
Kilio hiki kiwafikie manka mushi, chesco mzee wa matundaaaa na john zenze eheeeee, mateso hudhuni majonzi kiliooo cha yatimaaaaaa-prince mumini mwinjuma
 
Back
Top Bottom