Update ya maandalizi ya Katiba mpya

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
pakua+%2817%29.jpg

Kamati ya kudumu ya Bunge la Muungano wa Tanzania ya Katiba, Sheria na Utawala ikiwa imekaa kwenye ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kujadili yasimu ya marekebisho ya ya mswada wa kutunga sheria ya kuundwa katiba mpya.

Kama sijakosea kati ya wajumbe waliopo kwenye picha ni Tundu Lisu pekee mwenye tovuti tofauti na wengine ambao wangali na mfumo wa kutunza kumbukumbu mtindo uliotumika miaka 1947. Karatasi likichomoka na kupotea ndio mwisho wa habari na kumbukumbu, itabaki kuchoma moto jengo kutoa kisingizio.
 
CCM bana ni wevevu wa ujinga. Wako pale pale wanafikiria kwa upana wa ujinga. Ni wakati wa kufanya mambo kisayansi. Katiba yetu inatakiwa kuzidi hata ya marekani maana wao waliandika miaka mingi sana na sisi tunaiandika katika karne ya 21 ya sayansi na tecknologia
 
Umeona eeh, Tundu Lisu anabonyeza vitufe wakati magamba wako na kalamu za risasi zenye mfuto, na waliojiahidi ni kutumia zile nibu za kuchovya vidao vya wino. Kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom