Upatikanaji wa Petro na diesel Songea kama enzi za maduka ya ushirika!

MeanMan

Member
Jan 27, 2012
52
13
Jana jioni nimeenda kituo kimoja cha mafuta nikiwa nataka lita 50 za petrol, nikaambiwa kwa magari wanatoa lita 20 tu, kwa pikipki lita zisizozidi 5!!! Sababu:"Ndio maelekezo tuliyopewa na maboss wetu". Leo ndio kabisa hawauzi hata lita 1, wanakuambia mafuta yamekwisha!!! Jamani vipi pande nyingine huko?
 
Pole sana mkuu, Mwambieni kamanda Fuime wa CDM, Muandamane kama mlivyofanya kwenye umeme
 
Jana jioni nimeenda kituo kimoja cha mafuta nikiwa nataka lita 50 za petrol, nikaambiwa kwa magari wanatoa lita 20 tu, kwa pikipki lita zisizozidi 5!!! Sababu:"Ndio maelekezo tuliyopewa na maboss wetu". Leo ndio kabisa hawauzi hata lita 1, wanakuambia mafuta yamekwisha!!! Jamani vipi pande nyingine huko?

Hali ni hiyo hiyo kwa tunduru na masasi,inasemekana kuna mgomo baridi kwa wafanya biashara wa mafuta nchini kwamba wanataka bei ipande.hali si nzuri kwa wasafiri.
 
Back
Top Bottom