Upande wa pili wa Mizengo Pinda

Re: Upande wa pili wa mizengo pinda

Namuunga mkono na miguu Edward Lowassa:
-Lowassa ni mchapa kazi
-Mpenda elimu
-Muwazi
-Upande wake unafahamika
-Mpenda maendeleo. siyo bla bla
-Ana uchungu na nchi(ushauri mzuri ktk tukio la Arusha)
Let me tell you the truth: Kama tunataka maendeleo ya kweli katika nchi Tanzania, mwaka 2015 tumchague Edwald Lowassa kuwa Raisi wetu wa Tanzania. Lowassa Edward our next President, whether you like or not, he is placed to win the Presidency 2015. Let us pray for him.Atatufaa sana! Akina Pinda hawaeleweki misimamo yao, ndumila kuwili.

kha chonde chonde mama! kumbuka hii nchi ina watu zaidi ya 42 million!! yaani ushasikia rotten egg smell unauliZa hivi hii ni HYDROGEN SULPHIDE?

Duh! yooote sawa lakini Lowasa! duh kaaazi kweli kweli!!!!
 
Simple man or Simplified man?

12_10_6jywre.jpg

Hapa sijui alikuwa wapi na mama tunu!
 
Mtoto wa Mkulima aseme marangapi? Alisha sema mafisadi wanatisha wannguvu za ajabu, mnategemea nini ? Kwa nchi za wenzetu alipaswa apishe mtu ambaye yuko tayari kuwakabiri mafisadi. Sishangai lazima awafurahishe mafisadi si anawaogopa na lazima afurahishe wananchi kulinda kibarua. Na njia mbili zilimshinda fisi.
 
Anapenda sifa tu, kama kweli hahusiki na madudu CCM , ajiuzulu. To me I have lost patience with him.......
TAMISEMI iko chini yake, anashindwa nini kukemea uhuni huu wa Mzee mwenye diabetes, Makamba?
Makamba kukosa akili hatushangai, maana kisukari si mchezo...ila yeye kuwa neutral ni upuuzi mkubwa!
 
Hata mimi naamini Lowasa alifanya kazi kubwa kwa kipindi kifupi kuliko Pinda. Tatizo la Pinda ni kutokuwa na ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. Aanajua kawekwa pale kwa huruma za JK na siyo kwamba alikuwa chaguo la JK. Matokeo yake anashindwa kufanya uamuzi wowote wa maana kwa sababu kila kitu lazima apate ruhusa ya bwana mkubwa JK. Miaka mitano itaisha na hatakuwa na chochote cha kujivunia kwenye uongozi wake. Aibu kubwa kwake!
 
Tatizo si yeye, anauwezo sana, tatizo ni waliofadhili hiyo serikali kushinda.Kama mkwere hafurukuti itakuwa pinda?
 
sawa tumchague wae rais lakini du apunguze speed manake du anavisasi si ataua watu huyo nani w kumtuliza hasira zake labda tubadili katiba kwanza hapo mie namkubari lakini sumaye ki safi sana nayeye
 
Ni gharama kubwa kwa taifa kuwa na waziri mkuu ambaye hawezi kubweka au kungata.
 
Pinda anaweka kuwa mtu safi lakini siyo mchapakazi.
Suala la ununuzi wa magari ya kifahari alikataza muda mrefu lakini mpaka leo yanaingia,mbona Rwanda (Kagame alisema watumishi wa serikali watumie magari yenye cc 2000) na Kenya (Waziri wa elimu tu alifuta magari ya kifahari) waliweza? Kwanini Tanzania ishindikane?huo ni mfano mmoja tu wa utendaji wake kama waziri mkuu.

Lakini kwa CCM ya sasa ya jk na makamba hakuna kiongozi yeyote aliye safi. Kwani hata Katibu Mkuu wa ccm (Chama cha Mafisadi) na mrembo sofia simba walishawahi kusema ccm hakuna aliyesafi wote wananuka ufisadi. Dawa yao ni kuwa-VOTE OUT !

Lowassa hafai kabisa kuiongoza nchi kwa sababu ananuka sana RUSHWA. Mwalimu Nyerere alikuwa anamjua tangia akiwa na umri wa miaka 42 mwaka 1995 aliposema ni MLA RUSHWA MKUBWA na baadaye ikajidhihirisha baada ya kulete RICHMOND NA DOWANS.
 
Kama wasifu huu ni wa yule ninaye mfahamu, naomba atubu mara moja na amrudie Mungu. Mana maneno haya yatakuwa kweli kwake. "Na alaaniwe mtu afanyaye kazi ya Bwana kwa ulegevu; (Jer 48:10)," Zaidi sana tunafundishwa, "Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.(Galatia 1:8-9)."
 
Hatuna PM...mbona hilo linajulikana siku nyingi..hii nchi haina viongozi kwa jinsi mambo yanavyokwenda..kama ni gari basi dereve na tingo wameruka, gari linaenda lenyewe, tunasubiri kupinduka tu..Inauma sana! we need change!

Yaani kama ni ndege Tanzania iko kwenye auto pilot
 
Mkuu,
naona umeamua kumtolea uvivu jamaa anayejificha kwa kujipambanua kuwa mtoto wa mkulima kumbe ni usanii kwenda mbele..
This time, tutajua mengi
 
Namuunga mkono na miguu Edward Lowassa:
-Lowassa ni mchapa kazi
-Mpenda elimu
-Muwazi
-Upande wake unafahamika
-Mpenda maendeleo. siyo bla bla
-Ana uchungu na nchi(ushauri mzuri ktk tukio la Arusha)
Let me tell you the truth: Kama tunataka maendeleo ya kweli katika nchi Tanzania, mwaka 2015 tumchague Edwald Lowassa kuwa Raisi wetu wa Tanzania. Lowassa Edward our next President, whether you like or not, he is placed to win the Presidency 2015. Let us pray for him.Atatufaa sana! Akina Pinda hawaeleweki misimamo yao, ndumila kuwili.

Aisee siyo kwamba ndo ataiuza na nchi kabisa?
 
Mi hata watu wakatae na wengine watukane narudia kusema katiba ikibadilishwa mamlaka ya Rais ikapunguzwa na kukawa na separation of power/independence ya state organs na mambo mengine.....CHADEMA wakaweka mtu dhaifu,Lowassa akasimama,ntampa kura yangu na hata sh 200 ntamchangia japo anazo nyingi sana na kampeni ntampigia mimi na wengine......Please CHADEMA do not take me there,mi sina ushabiki wa chama naangalia mgombea ni nani!
 
back in a minute
 
Namuunga mkono na miguu Edward Lowassa:
-Lowassa ni mchapa kazi
-Mpenda elimu
-Muwazi
-Upande wake unafahamika
-Mpenda maendeleo. siyo bla bla
-Ana uchungu na nchi(ushauri mzuri ktk tukio la Arusha)
Let me tell you the truth: Kama tunataka maendeleo ya kweli katika nchi Tanzania, mwaka 2015 tumchague Edwald Lowassa kuwa Raisi wetu wa Tanzania. Lowassa Edward our next President, whether you like or not, he is placed to win the Presidency 2015. Let us pray for him.Atatufaa sana! Akina Pinda hawaeleweki misimamo yao, ndumila kuwili.

Naona sasa tunaanza kushabikia uozo. Ni kweli pinda amekuwa so passive kiasi kwamba amekuwa mnafiki. Anaongea tu maneno ambayo hayaelekei kutusaidia zaidi ya kupuliza kidonda ili mtu asisikie maumivu wakati huo hata kama kisu kinazidi kuchimba. Hapa yeye hajashika kisu, anawapulizia wengine. Pamoja na hayo, huyu Lowassa hatutaki kumsikia kabisa. Ufisadi ambao amehusika nao unatosha kabisa na ameshakuwa tajiri. Hatumhitaji, nina hakika tutapata rais bora kuliko hawa wanaotunyonya na kutuonea kila siku.
 
Ninasikia kuna mbwa bubu, yeye huwa abweki lakini ni hatari sana ktk kung'ata. Anakufuata kimya kimya na anakushughulikia ipasavyo. Huyu PM mwanzoni nilifikiri hvyo, lakini siku alipomwaga chozi ili hali ndg zetu wakiendelea kucharangwa mapanga, na wengine wakipigwa mnada wa Sh 400ml kumbuka yule mlemavu wa ngozi aliyesafirisha toka kenya mpaka mwz kwa lengo la kuuzwa bila yeye kujijua; alafu jamaa akaishia hapo ili hali yeye ni PM. Ndipo nilipouambia moyo wangu kuwa Tz ina ombwe la uongozi. Labda tuombe Mungu, ktk majira haya ya mvua aelekeze radi upande huo, ili atusafishie taifa. Kwani, hali si hali, mambo yapo kigoigoi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom