Upande wa pili wa maswali kwa Dr. Ulimboka

Sasa hapo kwenye watu wengi namna hiyo mtu anaweza kuwa "kidnapped" bila mashahidi wengine kuwepo ambao walishuhudia tukio? Maana hapa stori ya kutekwa inasemwa na Ulimboka na kuwa substantiated na daktari mwenzake/wenzake pasi na kuwepo independent party aliyeona mchezo mzima.

Mimi narudia tena na tena ulimboka hakutekwa aliondoka na watu anaowafahamu vizuri akapanda nao kwenye gari sasa tuombe apone atuambie alikuwa na kina nani?

ni bora ukafanya home work yako kab
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/
 
Ivi kwa haraka haraka najiuliza dr ULimboka alipigiwa cmu na Abeid (as per dr Deo statement) wakutane stereo na wao Wanasema Kwamba huyo jamaa wanamjua walikuwa wakifanya nae mawasiliano juu ya mgogoro wao baada ya hapo wakachange venue to kibona. Regarding to the situation the following are the question to be answered;
(I) kwanini wakutane sehemu Kama izo na dr akiwa na mtu ambae sio kiongozi wa Madr?
(ii) kwani jumuiya ya madactari Hawana ofisi hadi wakutane bar?
(iii) kwanini Dr ULimboka alikuwa anachukua yeye binafsi jukumu la kuongea na upande wa pili bila kushilikisha viongozi wenzake wa jumuiya nini kilikuwa kinaendelea hapa au ndo zana nzima ya "You have to make me quite first so asto solve the problem"

Huanza mazungumzo yasiyo rasmi ambayo hufanyika popote, then ukiona yanaweza kuleta maana unaanza kuyarasmisha kwenye kumbi yenye column inayokubalika. Hata wapigania uhuru hawakuanzia maofisini, walianza kama maongezi ya kawaida kwenye migahawa then yakaanza kufuata taratibu.
 
mimi naona jambo zuri kwa sasa ni kumwombea dr apate afya njema, kulaumu polisi ni sawa na kutukana mamba wakati hujavuka mto, hivi ukikutwa na tukio usiku wa leo hii then ukakimbilia polisi ukakuta milango imefungwa kwa sababu wamegoma itakuwa vipi? Ama ukapata ajali na gari lako hilo la mkopo baada ya kugongwa na fuso la wasomali la kubeba mchanga aka tipper traffic barabarani ukakuta wamegoma itakuwaje? Katika ajali hiyo ukaumia sana kiasi cha kukatika mkono ukakakimbizwa regency hospital unakotibiwa dr akawaambia ndugu zako kuwa kalete pf3 ili matibabu yaendelee inakuwaje? Mind you kituoni polisi hawapo? Ama tuganye polisi wagome kufuatilia tukio la dr kwa unavyowatusi itakuwaje? Kumbuka wanakesha nje ili ulale salama dhidi ya popobawa usiku. Tukio hilo litabainishwa na dr akipona, mfano dr akija kusema kuwa walionipiga walikuwa wewe na wenzako kumbe unaua soo hapa, na polisi wakakubaini kuwa uliwatusi hapa itakuwa vipi,,,sansana watakushona risasi ya makalio kwishneyyy

hilo nalo neno, ila msukiwa mkuu ni government of the united republic of tanzania sio lazima polisi mkuu
 
Hao madaktari wachache walikuwa wabinafsi walitaka kutumia huo mgomo kwa maslahi yao wenyewe ndio maana hawawezi kuja mbele ya watu wakaelezea mambo yalivyokuwa na kilichotokea wanasubiri ulimboka apone wajipange nini cha kuongea ili stori zao zisipishane. Kwanini huyo Dr Deo haji mbele ya vyombo vya habari atuambie hasa nini kilitokea maana naona anakimbilia kwenda kusema kwa wanaharakati badala ya kwenda kwenye vyombo husika.

Dr.Deo ahojiwe mara ngapi na hivyo vyombo vya habari kahojiwa hadi na polisi labda utakuwa umepitwa kidogo kasimulia hayo nlokusimulia labda kama huyataki tu...madaktari pia wasema ya kwao na tumewaelewa hatuwaelewi hao wanaojichunguza wenyewe
 
because he is a true leader , intelligent, most trusted with Firm stands ,,,,,na ndiyo maana hata baada ya kumtesa sana bado alikataa kusainishwa documents + kusema chochote at all.
He is not a true leader but an opportunist.
There is no way a true leader can conduct negotiation for his people at a Bar at odd hours.
There are lot of dots that when connected will bring everything in light and people especially Govt employed Doctors will be shocked.
Someone who made poor people suffer with no apparent reason can not be a true leader.Already the govt had bowed and willing to go back to negotiation but this person insisted and made the learned doctor not even to abide with the court ruling.
 
Comrade Hapana shaka Serikali ipo nyuma ya hili tukio jiulize swali hili hivi ni mtekaji gani wa kawaida amteke mtu kisha amtoe kucha na meno mambo haya hufanywa na usalama wa taifa na polisi kumfanya mtu afichue siri hawawezi kukwepa hapa
maweeeee,
ndo hawa majamaa wanavyofanyaga hivyo?
yaha roho mbaya ya kikatili kumbe
 
OPTIMUS TZ I am not supposed to disclose what transpired between a doctor and a patient but one of the accused for murder of Emran Kombe was admitted in one of the consultant hospital with TB peritonitis.
What I can tell you is that corruption is major factor behind killing of Kombe.The police were tracking a stolen car from a prominent indian bussinessman.
If TISS were real involved they could have never left him alive and I believe they learn better methods of inflicting pains and getting information.
Kindly read MOSAD,the killing machine.You will get an insight on how these people work.
 
Last edited by a moderator:
maswali yako ni ya kitoto kwasababu siyo kila call ya Dr ulimboka ilikuwa official bado alikuwa na mawasiliano mengine quite private.mimi naona wewe unaujua ukweli na ndio maana umejitokeza this JULY.
 
He is not a true leader but an opportunist.
There is no way a true leader can conduct negotiation for his people at a Bar at odd hours.
There are lot of dots that when connected will bring everything in light and people especially Govt employed Doctors will be shocked.
Someone who made poor people suffer with no apparent reason can not be a true leader.Already the govt had bowed and willing to go back to negotiation but this person insisted and made the learned doctor not even to abide with the court ruling.

Conducting meeting at a bar at odd hrs.....!? Hilo nalo neno, alijitakia huyo.....!
 
He is not a true leader but an opportunist.
There is no way a true leader can conduct negotiation for his people at a Bar at odd hours.
There are lot of dots that when connected will bring everything in light and people especially Govt employed Doctors will be shocked.
Someone who made poor people suffer with no apparent reason can not be a true leader.Already the govt had bowed and willing to go back to negotiation but this person insisted and made the learned doctor not even to abide with the court ruling.
u will never know unless you are a doctor.......and unfortunately it seems you are not......
get well soon comrade dr.ulimboka
 
OPTIMUS TZ I am not supposed to disclose what transpired between a doctor and a patient but one of the accused for murder of Emran Kombe was admitted in one of the consultant hospital with TB peritonitis.
What I can tell you is that corruption is major factor behind killing of Kombe.The police were tracking a stolen car from a prominent indian bussinessman.
If TISS were real involved they could have never left him alive and I believe they learn better methods of inflicting pains and getting information.
Kindly read MOSAD,the killing machine.You will get an insight on how these people work.
aaaaaaaaghhhh! craaaaaap! unawafananisha hao mbuumbuu TISS na MOSAD au KIDON KILLERS kwenye mbinu zao na methods.......dhaifu dhaifu dhaifu!!!!!!!Ashkenazi ni vichwa vingine hapa duniani mkuu huwezi kuifananisha na hii mizero ya hapa bongo.
 
mtoa maada unajaribu kkubrain wash watuu

Maswali kwako
  1. Hivi kwa mtaamo wako unafikiri tangu mgomo uanze serikali haijajaribu kuuzima kwa kuwaweka vizuri viongozi wa mgomo?
  2. Na kama ilijaribu vipi walifanikiwa au walishindwa?
  3. then hatua ya kumteka mtu na kumuua kujaribu kumzika akiwa hai etc maana yake nini kwa wewe mwenye uelewa thabiti?

Kwa uelewa wangu mfupi ni kuwa jamaa wamejaribu njia zote chafu na za kisheria baada ya kushindwa ndio assissination ikawa the only option and just because they are thinking is so small assuming that if u will eliminate the ring leader then watakuwa wamesolve sasa yamewatokea puani na walilohusika cha moto watakiona lazima wakione cha mtema kuni kuanzi na KUBWA LA MAJAMBAZI aka DHAIFU

Hakika wewe ni Mtanzania safi kabisa

Jamaa anauliza swali na wewe unauliza swali..Jibu alafu uulize maswali yako..

Alafu unajiita Dr..
 
aaaaaaaaghhhh! craaaaaap! unawafananisha hao mbuumbuu TISS na MOSAD au KIDON KILLERS kwenye mbinu zao na methods.......dhaifu dhaifu dhaifu!!!!!!!Ashkenazi ni vichwa vingine hapa duniani mkuu huwezi kuifananisha na hii mizero ya hapa bongo.
Doctors do classify themselves as per school of medicine they went.those who studied at Muhimbili do believe they are the best compared to those who attained their degrees in eastern Europe.
Israel is where most of our people involved in security especially the special unit undertake their training.
In that case if you agree that Mosad is the best why then disregard its product?
 
u will never know unless you are a doctor.......and unfortunately it seems you are not......
get well soon comrade dr.ulimboka
Let us discuss.
Can you kindly tell me what is in the medical ethics when the doctor is discontented with payment and other working condition?
If you happened to go through the labour laws can you kindly narrate to us what procedures are needed before striking especially for the noble profession like Medical Doctor?
What does it me for mgomo usio na kikomo? will I be wrong to translate it as let people die until and when we get what we want?
I join all other good wishers for Ulimboka,he really sustained life long pains but we should not forget those who lost their beloved ones because of this unnecessary strike.The Government was already shaken and it was a right time to go back to negotiation table with support of the majority but unfortunately the mob psychology swept all of you to the ditch.
 
Ivi kwa haraka haraka najiuliza dr ULimboka alipigiwa cmu na Abeid (as per dr Deo statement) wakutane stereo na wao Wanasema Kwamba huyo jamaa wanamjua walikuwa wakifanya nae mawasiliano juu ya mgogoro wao baada ya hapo wakachange venue to kibona. Regarding to the situation the following are the question to be answered;
(I) kwanini wakutane sehemu Kama izo na dr akiwa na mtu ambae sio kiongozi wa Madr?
(ii) kwani jumuiya ya madactari Hawana ofisi hadi wakutane bar?
(iii) kwanini Dr ULimboka alikuwa anachukua yeye binafsi jukumu la kuongea na upande wa pili bila kushilikisha viongozi wenzake wa jumuiya nini kilikuwa kinaendelea hapa au ndo zana nzima ya "You have to make me quite first so asto solve the problem"

Yote mtaongea lakini chamsingi nikua huyu jamaa amewa-outsmart vilaza wa sheria. Hii hoja ya yeye kwenda kuzungumza peke yake au binafsi inaonyesha kua kisheria hakuna kifungu ambacho kina mkaba yeye tofauti na hao wa MAT.So anaenda pale akijua kua yeye hawezi kubanwa kisheria na sio MAT,Also hana haja ya kuenda na jopo lote la jumuia ya madaktari kama utakavyo bali anaenda pale kama muwakilishiwao na wanamuamini kua yu pamoja nao na kamwe hato wasaliti.Hii jumuia ya madaktari kwakifupi ni serekali kivuli ya MAT so haitakua na ofisi wala katiba.Kumbukumu zangu zinaonyesha kua migomo kama hii ilitokea miaka ya nyuma na yeye akiwa mmoja wao ukiachilia kwa migomo wa mwaka huu.Ninauhakika kabisa kua hawa madaktari wakatiule walibanwa kisheria na mgomo ukazimwa.Sasa toka kipindikile wakagundua MAT inabanwa kisheria na inawezekana kabisa serekali inaweza chukua hatua kali dhidi ya MAT. Kuweza kupambana kisheria hawa jamaa wameunda hii kitu inayoitwa Jumuia ya Madoc. Na huyu bwana kupewa jukumu hilo kuliongoza bila kufungamana na upande wowote ule.
 
Doctors do classify themselves as per school of medicine they went.those who studied at Muhimbili do believe they are the best compared to those who attained their degrees in eastern Europe.
Israel is where most of our people involved in security especially the special unit undertake their training.
In that case if you agree that Mosad is the best why then disregard its product?
its not necessarily for all of them to be trained at Israel but what i can assure u its not only the training that make mosad the most elite killing machine ever existing but their brain and genetical traits.

na do u real think mosad can train ur killers as much as in the same level as how they train theirs e.g kidon killers?

TISS ni mambumbumbu na Ashkenazi are very intelligent!
while Kidon killers are fighting for their nation ,TISS r fighting for a group of few people.
while mosad are recruiting top students at their classes and most talented ones , TISS are Recruiting the failures from the school ,maswahiba na watoto wao.
hiyo ni kwa uchache tu ,usifananishe mosad na TISS ....they will never ever be on the same level.
 
Africa_Spring da hii kitu inayoitwa Jumuia ya Madoc. Na huyu bwana kupewa jukumu hilo kuliongoza bila kufungamana na upande wowote ule.[/QUOTE]
aksante mkuu kwa kumwaga shule ,hii ni Akili KUBWA kuongoza NDOGO na siyo akili ndogo kuongoza kubwa.
wao wameshazoea kuburuza watu ,sasa wamekutana na watu wanaotumia ubongo wao vizuri wanaanza kuja na hoja hafifu na dhaifu.........next time usiwafundishe tena ili waendelee kudhani akili zao ndogo zitaendelea kuongoza akili kubwa.
 
Last edited by a moderator:
its not necessarily for all of them to be trained at Israel but what i can assure u its not only the training that make mosad the most elite killing machine ever existing but their brain and genetical traits.

na do u real think mosad can train ur killers as much as in the same level as how they train theirs e.g kidon killers?

TISS ni mambumbumbu na Ashkenazi are very intelligent!
while Kidon killers are fighting for their nation ,TISS r fighting for a group of few people.
while mosad are recruiting top students at their classes and most talented ones , TISS are Recruiting the failures from the school ,maswahiba na watoto wao.
hiyo ni kwa uchache tu ,usifananishe mosad na TISS ....they will never ever be on the same level.
I can assure that TISS is not that mbumbumbu as you think.
I can give few names that are well known to had been worked for TISS and you can review their backgrounds.
One of the recruitment sites for TISS are the universities,do universities produce mbumbumbu?
Maber,Kitine,Mahiga,Membe are all these mbumbumbu?You do not know what transpire after the dark sets.
Unfortunately they never display their work in public butTISS have highly educated people in various field including medical.
 
Mkuu umeuliza kabla ya kujibu. Kwa ni ishu kama hiyo ilipangwa kuzungumza baa? Je hao madaktari walikuwa wanajua wanaongea na mtu mwenye wadhifa gani katika serikali? Waliwahi kumuuliza yeye alikuwa amamuwakilisha nani? Kwa nini serikali umtume mjumbe mmoja tu kwa ishu muhimu kama hiyo?

Kuweni waelewa. Ulimboka hakutaka kukutana na huyo jamaa, bali ni huyo jamaa alitaka kukutana na Ulimboka. Kwa hiyo dokta aliitika wito bila kujua dhumuni la wito. Kwa kila hali inaonekana kuwa serikali ilihusika. Hoja mnaaoleta hapa ni kujaribu kuonesha kuwa Dr. Ulimboka ni halali kukutwa na yaliyomkuta kwa sababu tu alikutana na 'mchomaji' wake baa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom