Upande wa pili wa maswali kwa Dr. Ulimboka

Hao madaktari wachache walikuwa wabinafsi walitaka kutumia huo mgomo kwa maslahi yao wenyewe ndio maana hawawezi kuja mbele ya watu wakaelezea mambo yalivyokuwa na kilichotokea wanasubiri ulimboka apone wajipange nini cha kuongea ili stori zao zisipishane. Kwanini huyo Dr Deo haji mbele ya vyombo vya habari atuambie hasa nini kilitokea maana naona anakimbilia kwenda kusema kwa wanaharakati badala ya kwenda kwenye vyombo husika.
Stop being Daft Maundumula, it very disgraceful to come out in public and disclose one sided information of a discusion. What Kikwete has done can only work on people of your kind.(watu wa kutongozwa). Have you asked yourself what was the opinion from other side of discusion between doctors and government? What is the use FOR Doctors to call a press cornference when the actions of the government are clear?(ili waseme nini?). The government have shown no will to adress the issue(from last statement of the president) and have also shown it is capable of turning to Mafia style intimidations come what may...Liwe liwalo.
WARNING: THE NEXT VICTIM OF THIS MAFIA STYLE INTIMIDATION WILL BE A POLITICIAN AND THE WAY CCM IS CRACKING AND THE LEVEL OF HATRED CREATED WITHIN, I SUGEST THAT ALL POLITICIANS(CCM AND OPOSITION) ARE TO BE SCARED AND ACT VERY AGRESSIVELY TO STUMP THIS DEVELOPING BEHAVIOUR OF IMPUNITY BY THOSE IN POWER.
N.B THIS WARNING EXCLUDES FUNDI MCHUNDO WITH ADVANCE DIPLOMA FROM DTC. TO ME SHE IS NOT A POLITICIAN WHO CAN BE IDENTIFIED BY WHAT SHE STANDS FOR BUT RATHER AN HYPOCRITE WHO STANDS FOR NOTHING.
 
IPECACUANHA Mkuu majibu yako ni utumbo mtupu na wala hayaingii akilini hata kidogo. Ishu kama hiyo ya mgomo wa madaktari ni nzito. Mtu hawezi kukutana na mwakilishi wa serikali kilabuni, tena usiku kuongelea suala kama hilo. Halafu madaktari ni wasomi wakubwa na wana ufahamu wa kutosha. Hivi waliamini vipi serikali kutuma mjumbe mmoja tu! Tena katika mazingira tata ili kuongelea suala nyeti kama hilo? Je! Walikuwa wanajua huyo mtu katumwa na idara gani ya serikali ili waulize ofisini alikotoka uhalali wa yeye pekee kusimama upande wa serikali? Je, katika vikao vyote vya serikali na madaktari kutafuta muafaka, mtu huyo amewahi kushiriki? Shughulisha ubongo wako ndugu.
 
Last edited by a moderator:
wakati anateswa alitakiwa kusema nani yupo nyuma ya mgomo?? yaana ametumwa na nani kuhamasisha mgomo??
Tafakari chukua hatua... swala hili halihitaji elimu ya darasani mkuu

Jibu lipo wazi, halihitaji kusoma notsi ndipo ujibu. Katumwa na madaktari aliokuwa anawaongoza.
 
HaondioTISS lazima kila kitu utasemakwanimlikuwa hamjui kuwa huyo jamaa alitumwa? baada ya kusema ndio wakamwachia wao hawahitaji kuua ila ikibidimm namuombea afya njema
 
Stop being Daft Maundumula, it very disgraceful to come out in public and disclose one sided information of a discusion. What Kikwete has done can only work on people of your kind.(watu wa kutongozwa). Have you asked yourself what was the opinion from other side of discusion between doctors and government? What is the use FOR Doctors to call a press cornference when the actions of the government are clear?(ili waseme nini?). The government have shown no will to adress the issue(from last statement of the president) and have also shown it is capable of turning to Mafia style intimidations come what may...Liwe liwalo.
WARNING: THE NEXT VICTIM OF THIS MAFIA STYLE INTIMIDATION WILL BE A POLITICIAN AND THE WAY CCM IS CRACKING AND THE LEVEL OF HATRED CREATED WITHIN, I SUGEST THAT ALL POLITICIANS(CCM AND OPOSITION) ARE TO BE SCARED AND ACT VERY AGRESSIVELY TO STUMP THIS DEVELOPING BEHAVIOUR OF IMPUNITY BY THOSE IN POWER.
N.B THIS WARNING EXCLUDES FUNDI MCHUNDO WITH ADVANCE DIPLOMA FROM DTC. TO ME SHE IS NOT A POLITICIAN WHO CAN BE IDENTIFIED BY WHAT SHE STANDS FOR BUT RATHER AN HYPOCRITE WHO STANDS FOR NOTHING.

You have not helped in clearing my doubts. What you have done here is to quote my previous post and continue with your own thinking and thats simply absurd!!

Next time do not quote anyone unless what you are going to write has something to do with the comments given.
 
Maswali mazuri sana,

Na ndio maana JK alimpongeza sana Ulimboka kwa kuchaguliwa kuwakilisha na kutetea maslah ya wafanyakazi wa serikali ingawa yeye sio mwajiri wa serikali!!!!! Maajabu ya karne haya.
 
Kwani Dr. Deo ni nani? Kuna uhakika gani sio mfanyakazi wa kule? Inawezekana ndio alikuwa anamsaidia Dr. Uli kama mshauri kumbe anajua nini kinachoendelea. Ningekuwa siwajui labda...lakini najua hawa jamaa walivyo...
 
Pale opposite na ultimate security ambako Dr Uli anasemwa alitekwa huwa kuna watu wengi sana kila siku hadi past midnight na huwa kuna dada poa kibao. Kwa maana hio sio sehemu ya mtu kuburuzwa barabarani bila watu wawili watatu kushuhudia hilo tukio. Kwa taarifa zote za magazeti sijaona shuhuda yoyote zaidi ya Dr Deo. Kweli hata wale askari wa Ultimate ambao wako 24/7 pale nje hawajashuhudia?
 
Mkuu umeuliza kabla ya kujibu. Kwa ni ishu kama hiyo ilipangwa kuzungumza baa? Je hao madaktari walikuwa wanajua wanaongea na mtu mwenye wadhifa gani katika serikali? Waliwahi kumuuliza yeye alikuwa amamuwakilisha nani? Kwa nini serikali umtume mjumbe mmoja tu kwa ishu muhimu kama hiyo?
Maadam wewe na mimi hatufahamu kilichotokea nadhani ni busara hata wewe jibu swali la mweka mada..

Kwanza umeisoma report ya Dr.Deo toka mwanzo na Ulimboka halafu tumesikia majibu ya Msangi hapo ni jukumu ako kuunganisha...
Turudi kwa mweka mada.. Kama unakubaliana na statement ya Deo kwamba waliitwa na Msangi wakutane sehemu fulani Kinondoni (hawa wanajuana) kisha haikuwezekana wakampigia simu na kumwelekeza walipokuwa na akawafuata huko (Leaders Club)...Hapa ndipo hadithi inapoanza kuwa tamu..
- Madai ya Msangi hahusiki na Utekaji lakini maelezo ya Ulimboka hayamwodoi Msangi pale baada ya mazungumzo.. isipokuwa tunaambiwa alikuwa ktk simu (kama kweli huyu mtu alikuwa Msangi) na baadaye wakatokea watu wengine watano wakawavamia....
- According to Ulimboka huyu mtu walokuwa naye wakizungumza alikuwa part ya utekaji nyara.. Je, huyu mtu alikuwa Msangi au nani maana ktk maelezo ya Msangi anakataa kuwepo ktk utekaji nyara lakini anasema yeye, Ulimboka na Dr.Deo wanafahamiana toka siku nyingi..(kwa nini wasimuamini ama kujua ni mtu wa usalama kama wanajuana?)

Na Mwisho wa yote inakuwaje Dr.Deo hadi leo hajajitokeza kusema lolote zaidi ya siku ya kwanza, na pengine haijulikani alipo! na kwa nini yeye aliachiwa huru wakati ni shahidi aliyeona yote ya utekaji, angekuja kuwaletea matatizo baadaye kama uchunguzi ukifanyika. WHERE is Dr. DEO?...Something is very fishy here..
- Akili mu kichwa! .
 
comrade hapana shaka serikali ipo nyuma ya hili tukio jiulize swali hili hivi ni mtekaji gani wa kawaida amteke mtu kisha amtoe kucha na meno mambo haya hufanywa na usalama wa taifa na polisi kumfanya mtu afichue siri hawawezi kukwepa hapa

Kwa kauli yake mwenyewe dr.ulimboka aliulizwa na watesi wake kwamba;''nani yuko nyuma yenu?''
hili swali ni la kipolisi straight forward. Na hawa jamaa wa uwt/polisi kwa ufinyu wa akili zao walitegemea kabisa jibu la dr. Ulimboka liwe,''chadema au nchi za magharibi wako nyuma yetu''! Which is not.

Na uhakika wa majibu kama hayo tumeyaona bungeni kwa wapayukaji na vihiyo wa ccm kama bi mkora stella manyanya na mwigulu mchembe. Matamshi ya kuwa chadema wanaunga mkono migomo inatoa picha nzima kuwa serikali ya ccm wamehusika na utekaji wa dr.ulimboka.

Uhakika mwingine ni kukanusha kwa rais wao kiwete kuwa serikali haihusiki huku akikataa kukubaliana na maoni ya wengi kuunda tume huru ya kuchunguza kadhia hii na polisi wasihusishwe kwa vile ni watuhumiwa.

Leo ni siku ya 7 toka tukio litokee hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa!!!je,ni kweli kuwa hawajaweza kujua nani walihusika wakti kuna simu zilipigwa kwenye simu ya dr.ulimboka ambapo taarifa ziko kwenye database ya mitambo ya mtandao husika?je,kama ni kweli mpaka sasa hawajakamata hata suspect mmoja ina maana jeshi letu la polisi ni mabwege hawajui wanachokifanya??yaweza kuwa kweli lakini aslimia 80 they what they are doing!

God forbid! Siombei dr.ulimboka maisha yake yakatizwe,lakini kuna predictions kuwa inaweza kwamba mungu akaruhusu dr.ulimboka apumzike kwa amani baada ya mateso haya! Je, watanzania tufanye nini????

Naomba tusaidiane nini cha kufanya kama itatokea bahati mbaya kama vile.
 
Hao madaktari wachache walikuwa wabinafsi walitaka kutumia huo mgomo kwa maslahi yao wenyewe ndio maana hawawezi kuja mbele ya watu wakaelezea mambo yalivyokuwa na kilichotokea wanasubiri ulimboka apone wajipange nini cha kuongea ili stori zao zisipishane. Kwanini huyo Dr Deo haji mbele ya vyombo vya habari atuambie hasa nini kilitokea maana naona anakimbilia kwenda kusema kwa wanaharakati badala ya kwenda kwenye vyombo husika.
una uhakika dokta deo hajaja kwenye vyombo vya habari?
jana tu alikuwa clouds fm anasimulia kilichotokea.
 
hilo hata mi nimejiuliza na kingine huyu jamaa alikua sio mtumishi wa serikali, je kwanini yeye ndio alipewa shuhuli ya kutetea maslahi ya madaktari waliojariwa na serikali? ina maana hakuna daktari anayefanya kazi serikalini ambae ana uwezo wa kutetea haki zao?
because he is a true leader , intelligent, most trusted with Firm stands ,,,,,na ndiyo maana hata baada ya kumtesa sana bado alikataa kusainishwa documents + kusema chochote at all.
 
Hivi ni nani lakini huyu anayetuumizia wananchi wetu jamani. I still mourn my MP Chacha Wangwe.
 
The first victim was a security officer Gen Kombe,second was wananchi..........wale waliouliwa na Zombe, the a Politician Mwakyembe sasa ndio Dr Uli, haya mambo haya jaanza leo kuna tusiowajua wengi tu hao watesaji ni wazoefu huwezi kuamka na kuanza kazi hiyo ovu kwa kung'oa watu meno........the sucker who start this thread amejiunga JF ON THE 3RD OF JULY direct from TISS or POLICE.

SWALI LA MSINGI HAPA NI KUWA KAMA DOCT ULI ALIKUWA ANAANDAA NA KURATIBU MGOMO WA MADOCT NCHI NZIMA TUKUBALIANE KUWA HILO LILIKUWA NI SWALA HATARI KWA USALAMA WA TAIFA I HOPE HATA RITZ NA ROJEO WANAAFIKI

THEN USALAMA WA TAIFA UKIWA HATARINI NA MHUSIKA ANAFAHAMIKA TAASISI YA USALAMA WA TAIFA INACHUKUA HATUA GANI KWENYE HATUA ZA MWISHO ZA TUKIO, KIFUPI NI KUWA MHUSIKA NA WATU WAKE WA KARIBU WANAKUWA CHINI YA UANGALIZI MKALI DIRECT AND INDIRECT MASAA ISHIRINI NA NNE YAANI HATA WANAJUA KALA NINI NA KAJISAIDIA WAPI NA SAA NGAPI...............TUPO PAMOJA WANAJAMVI

IF THIS IS THE CASE THEN TISS WALIFANYA HIYO? KAMA JIBU NI NDIO BASI WALIONA DR AKITEKWA NA ALIPOTESWA NA KUTUPWA ............WANAMJUA MUHUSIKA TOKA NI TOKE...WANAJAMVI MPO BADO!

IF THE ANSWER IS NO TISS HAWAKUWA WAMEWEKA UANGALIZI NA WALIACHA ISSUE YA MGOMO KWA STAILI YA LIWALO NA LIWE NA HAWAKUJUA KAMA DR KATEKWA, KATESWA NA KATUPWA ...HATA BAADA YA WENZAKE KUANZA KUMTAFUTA USIKU.............BASI TANZANIA HAKUNA USALAMA WA TAIFA NA TUOMBE MUNGU MAADUI WETU WASILIFAHAMU HILO.

ILA JUZI KAULIWA MZUNGU SERENGETI ...SIKU CHACHE TU KAZI IMEFANYIKA MPAKA KANDAMBILI ZA MAREHEMU WAMEZIPATA DOC ULI ANGEKUWA MZUNGU........MAMBO YANGEKUWA TOFAUTI

NAWASILISHA HOJA JAMVINI
 
Kwanini madaktari wamtumie Ulimboka;-
Jibu ni kuwa, walikuwa na imani naye SANA! Hata hivyo mtu haiitajiki awe mwajiriwa na serikali ili aaminiwe na madaktari au kikundi chochote kile. Na kama ni kosa la madaktari kumwamini awe kama kiongozi wao, kumbe ni kwanini basi serikali na rais JK walikubali kufanya naye mazungumzo kwa niaba ya madaktari?

JUMAKIDO, kwamba Ulimboka alikuwa kiongozi wa migomo, sio siri kama unavyodhani. Walimpa kichapo ili aseme nani yupo behind ya migomo inayoendelea. Walihisi ni pengine chama fulani, pengine asasi fulani, au hata nchi fulani. Badala ya kumchunguza Ulimboka huyo huyo kwa siri ili wapate anao'link nao. Kwa utumbo waliofanya na kwa hali ilivyo kama yupo/wapo waliokuwa behind will run for cover.

Kwanini izungumziwe BAR?
Serikali ya Tanzania na watu wake, haina shida wapi pakuzungumzia jambo lolte ilimradi tu wazungumzaji wamekubaliana. Kama tatizo ni muda au mahali, MBONA MKATABA MMOJA WAkugawa MGODI ULIASINIWA GESTI USIKU in UK? na makataba huo ni halali hadi leo.

Kwanini walimwamini Abeid.
Maelezo ya Deo na Uli, huyu jamaa walisha'deal naye before, i.e kwenye mgomo ulioutangulia huu walishaongea naye na wanamfahamu. Na katika mgomo uliopita huyu jamaa alikuwa kiungo kati yao na serikali, kwanini safari hii wamtilie shaka SANA? Ofkoz serikali inaweza kutumia agent wake katika njia yeyote even dirty way ilikufanikisha azma yake, nchi nyingi zinafanya hivyo. Nao walikuwa wanajua wana'deal na ajent wa serikali but in a friendly way- bila kudhani ilikuwa ni mkenge, na ndiyo why uliona askari alikula kichapo pale muhimbili wakijua ni aina ingine ya ajenti.

Dr Deo
Huyu alishajitokeza kwenye vyombo vya habari kuzungumzia sakata zima, japo kwa uchache na statement yake ipo CENTRAL POLICE. Clouds F.M alikwenda hewani live. Pia akiendelea saaana kueleza yaliyojiri, ushahidi wake unaweza umfanye wamu'ulimboke na yeye.

MTAZAMO.
-Baada ya kumtocha, waligundua kuwa madaktari hawana mtu anaye wasukuma zaidi ya utashi wao wenyewe, wakuboresha maslahi yao, japo kulipwa nusu tu ya wagonga meza mjengoni, kuhakikisha vifaa vinaboreshwa na wagonjwa hawalazwi sakafuni wakati kuna matrilioni ya fedha yanapata kutu USWIS.

-Kuna watu wana mawazo mgando, mawazo yaliopitwa na muda kama mabomu yaliojilipukiaa yenyewe huko mbagala. Kumuua au kumtocha Ulimboka, hakutatui tatizo la kutafuta suluhu na madaktari, kuwalazimisha wafanye kazi ni tatizo, lazima wapende kufanya kazi yao kwa moyo wao....tuelewe tu kuwa binadamu wote wakiwamo madaktari ni wateja wa madaktari......! Tuwasii madaktari sio kuwalazimisha wafanye kazi, ila tuilazimishe serikali ilioingia mkataba na madaktari kwa niaba yetu wamalizane.

Kibanga Msese

 
Afichue siri gani? Si inajulikana kuwa jamaa ni kiongozi wa mgomo?

aisee kama hujajua siri inayodhaniwa na serikali toka kwa dr. Ulimboka basi bado upo nyuma sana, na hauqualify kuuliza maswali yale! Kapumzike tu!
 
Mimi naona jambo zuri kwa sasa ni kumwombea Dr apate afya njema, kulaumu Polisi ni sawa na kutukana mamba wakati hujavuka mto, hivi ukikutwa na tukio usiku wa leo hii then ukakimbilia Polisi ukakuta milango imefungwa kwa sababu wamegoma itakuwa vipi? Ama ukapata ajali na gari lako hilo la Mkopo baada ya kugongwa na Fuso la Wasomali la kubeba mchanga aka Tipper Traffic barabarani ukakuta wamegoma itakuwaje? Katika ajali hiyo ukaumia sana kiasi cha kukatika mkono ukakakimbizwa Regency Hospital unakotibiwa Dr akawaambia ndugu zako kuwa kalete PF3 ili matibabu yaendelee inakuwaje? Mind you kituoni Polisi hawapo? Ama tuganye Polisi wagome kufuatilia tukio la Dr kwa unavyowatusi itakuwaje? Kumbuka wanakesha nje ili ulale salama dhidi ya Popobawa usiku. Tukio hilo litabainishwa na Dr akipona, mfano Dr akija kusema kuwa walionipiga walikuwa wewe na wenzako kumbe unaua soo hapa, na polisi wakakubaini kuwa uliwatusi hapa itakuwa vipi,,,sansana watakushona risasi ya makalio kwishneyyy
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom