Congrats! tuko pamoja, niko na wewe! namsifia Lowassa kwa kuanzisha shule za kata anayebisha aje kwa hoja nzito, nimweleze umuhimu wake. umeeleza moja na zuri hili wengi hawalioni wamebaki kufuata mkumbo wa kulaumu tu. shule za kata are best kama watanzania tutaamua zitukwamue!
Madela this is a million dollar question kwa mtoa hoja, kwa nini amemkumbuka Lowassa?
However, another question to you is, how can we know this is a good leader or not kama hatujamsikia, anachofanya hapa mtoa hoja ni comparison!! na amesema kabisa kuwa ' ana matakataka yake' anachofanya ni ku-compare na hawa waliopo!! maana wengine hawajui labda aliosoma nao primary!! sasa ukiona katika ccm hawa bado Lowassa anaonekana basi ujue hao wengine ndio hawafai hata kuwa discussed
Nashangaa thread za siku hizi hazina hoja, ni vijembe tu... lakini madela wa mdilu......sio unafki kweli tunabkubali mkwere kuendelea kuwa rais wetu usiku na mchana huku tunamkataa lowssa? yaani wanaotukana matusi wanatumia basis gani? kuwa hawa wengine ni wasafi??
1. Lowasa ni mchapakazi hebu tuangalien utendaji wake wa kazi kuanzia alipokuwa kituo cha AICC
Hata Makaburu walileta maendeleo makubwa ya viwanda na kilimo Afroia ya Kusini lakini ilibidi serikali yao iondoke kwa sababu ya maovu yao. Ninyi mnajaribu kumuosha Lowassa kwa faida muijuayo wenyewe. Kwa nini tumuibue mtu mchafu kutoka shimoni kana kwamba hilo ndilo tumaini letu la mwisho wakati Tanzania haijafilisika watu waadirifu??
Mwaisifu mvua kama shukrani ya kuwanyea.
I believe this is a joke! :coffee:
Waberoya kwanini amumsemi Magufuli au mwakyembe wanao chapa kazi na kuwa waadilifu? kama unachapa kazi na ni mchafu kwaheri uitajiki. Anayeitajika ni magufuli prototype.
Kwani mnagawiwa ikishapitishwa dowans?????????? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:twitch:
Nisaidie Shule za kata ameanzisha LOWASA au ni ilani ya uchaguzi ya ccm?
Tunamuongelea mtu ambaye ingekuwa China angekuwa keshanyongelewa mbali.
Tunajua Lowasa anataka uraisi na anawatu wake hapa JF Amewatuma hapa kupima joto la hapa hawajui ni la moto ametumia UVCCM anapima hapa hatudanganyiki
Alivunja mkataba wa City Water na mpaka leo hakuna maji ya uhakika Dar, alianzisha shule za kata ambazo zimeongeza kiwango cha kufeli na kushuka kwa kiwango cha cha elimu kwa ujumla, hayo masuala ya mvua artificial yalimfanya aonekane kama mpiga ramli. Bado hujanishawishi. tafuta mengine ambayo unadhani kuwa ni mazuri ya Lowassa, haya uliyoyasema yote alifeli, tena sana
Umetumwa?
Lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.
Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji
Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.
Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k
Amekuahidi kuwa utakuwa mwandishi wa hotuba zake ikulu au Tayari amekupa hisa ????
Nyerere alimkataa 1995 sababu alizotumia kumkataa bado anazo mpaka leo, tafakari
Nina ajira nzuri na bora kuliko kuwa karani wa hotuba. Kimsingi ninachokiona humu JF ni kuwa wengi wa members wanapenda ushabiki bila kuangalia uhalisia. Lolote zuri linalofanywa na mpinzani wao lazima walichafue. Ukweli unabakia pale pale, Lowassa ni mchapa kazi sana na ni muwajibikaji, ingawa ana mapungufu yake kama mimi na wewe
hallow, great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa edward lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo edward lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki edward lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.
Kwangu mimi, edward lowassa namuona kama
1. Kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji
baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja edward lowassa ni uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni edward lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama lowassa angeendelea kuwa pm leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.
Nimegusa tu mazuri ya laigwanani lowassa, mazuri yapi ya lowassa unayajua? Yaandike hapa