Upande wa pili wa Edward Lowassa

Congrats! tuko pamoja, niko na wewe! namsifia Lowassa kwa kuanzisha shule za kata anayebisha aje kwa hoja nzito, nimweleze umuhimu wake. umeeleza moja na zuri hili wengi hawalioni wamebaki kufuata mkumbo wa kulaumu tu. shule za kata are best kama watanzania tutaamua zitukwamue!

Hata Makaburu walileta maendeleo makubwa ya viwanda na kilimo Afroia ya Kusini lakini ilibidi serikali yao iondoke kwa sababu ya maovu yao. Ninyi mnajaribu kumuosha Lowassa kwa faida muijuayo wenyewe. Kwa nini tumuibue mtu mchafu kutoka shimoni kana kwamba hilo ndilo tumaini letu la mwisho wakati Tanzania haijafilisika watu waadirifu??

Mwaisifu mvua kama shukrani ya kuwanyea.
 
Lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact

But this does not make Lowassa a better leader for Tanzania.... It is very unfortunate that Mkwere is a president of my country, I feel so ashamed but I could only cast one vote for the president!
 
Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k

kuhusu shule za kata ni muendelezo wa MMEM na MMES iliyoasisiwa wakati wa BWM.basi kwa hili tumsifie sumaye na sio Lowassa.
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

Hivi si ni Lowassa aliyekuja na strategy ya-kupromote shule kila kata akiwa waziri mkuu? Labda tuangalie kama alikua anamaanisha jengo kila kata au shule akiwa na maana na walimu, vifaa etc. Maana matokeo ya mitihani can speak it all, sina haja yakusema kama ni zuri au baya.
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

mkuu ulikuwa na idea nzuri lakini umekurupuka.anza kuyachimba mazuri ya lowassa(kama yapo) kuanzia enzi za mwalimu.
 
Dear KAUMZA,
Kwanza hongera kwa kuwa na mawazo huru!!

It is true that Lowassa if better compared to many others in CCM!

1. Kuanzisha shule za kata hili mimi naona bora kuliko chochote alichofanya na atakumbukwa kwa hili.

I believe this is a joke! :coffee:
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down: Utamuongeleaje Sokoine, kama huyu mnyang'yanyi nae unampa hizo in red?! Zuzu jingine hili!
Kuna vitu vingine hata ujitahidi vipi utajikuta umejichafua wewe mwenyewe! Usipoteze muda wako! Kawaambie hayo mazuzu wenzako sio hapa!
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

Crap!

Mambo mazuri ninayoyajua kuhusu Edward Lowassa:

1. Kiongozi mbovu anayeweza kusimamia maamuzi yake binafsi kibinafsi-binafsi bila kujali wengine. Mfano ni kujitajirisha yeye binafsi kwa rasilimali za Watanzania wote bila kuwajali Watanzania wengine ambao nao wanahaki ya kufaidi rasilimali hizo za nchi

2. Kiongozi ambaye yuko tayari kuchukua maamuzi mabovu hata kama maamuzi hayo yataathiri uchumi wa nchi. Mfano kusimamia Baraza la Mawaziri kuidhinisha kuingiza nchini kampuni ya mfukoni ya Richmonduli iliyozaa Dowans, mambo ambayo yanaleta matatizo makubwa katika uendeshaji wa nchi na yanaleta umaskini mkubwa miongoni mwa Watanzania.

3. Kiongozi ambaye amelifikisha taifa mahali lilipo sasa: serikali kulaumiwa na kulaaniwa na wananchi kuliko wakati wowote, serikali kudaiwa fidia ya mabilioni ya shilingi na kampuni ambayo hata wamiliki wake hawajulikani

4. Jamaa asiye ha haya wala aibu kuusaka urais wa nchi 2015 akidhani kwamba Watanzania ni wapumbavu ki-viiiiiiiile. Mfano ni harakati za kutumia UVCCM kutaka ishu ya Richmond irudishwe Bungeni ili kujisafishia nyota kwa nguvu za pesa ambazo atahonga watoa hoja kipindi cha mjadala
 
Nyerere alimkataa 1995 sababu alizotumia kumkataa bado anazo mpaka leo, tafakari
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

Hakuna jingine la maana alilofanya zaidi ya hilo la city water pamoja na utumishi wake wa umma wa muda mrefu akiwa waziri. Kumsifia kwenye suala la mvua artificial ni upuuzi mtupu kwani lingeweza ku-disturb hata mfumo wa asili wa mvua. Kwa ujumla EL simtofautishi na RA na hata Mwl. Nyerere alikwishaonyesha mashaka yake kwa huyo jamaa.
 
Ukiwa na mazuri 99 na ukakutwa na kosa moja unapelekwa jela kuanzia kunyongwa, kifungo cha maisha au miaka au miezi. Mazuri yote hufutwa na baya moja ulilolitenda. Mimi nashangaa ni kwa nini wakosaji wanaendelea kujadiliwa hapa kwa lengo la kusafishwa? Tanzania ina milioni 19 (ukiondoa mafisadi kama 2,000 hivi walioko kwenye uongozi hivi sasa) wanaostahili kujadiliwa kuwa viongozi wa Tanzania yetu ya Kesho. EL,RA,JK, MP,BWM...... ubora wao ulishapimwa na kuonekana kuwa hawatufai Watanzania.
 
Waberoya kwanini amumsemi Magufuli au mwakyembe wanao chapa kazi na kuwa waadilifu? kama unachapa kazi na ni mchafu kwaheri uitajiki. Anayeitajika ni magufuli prototype.
Kwani mnagawiwa ikishapitishwa dowans?????????? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:twitch:
 
Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k

My question is that: Why should we always have to settle for less? In Tanzania we have great people, they can also be great leaders if we give them a chance. Why should we settle for this type of people?. We should not accept mediocrity but leave above it. If you strive for mediocrity, you are doomed to achieve it. We do not need to recycle anybody, we have many people with great, fresh, clear, clean minds with vision that can lead this great nation. The only reason we are overlooking them is because they do not carry "the" name/not famous/popular/ their not coming from big name families etc and that is totally wrong.

great thinkers tunapoliongelea hili tujaribu kunyambua vizuru, kwa upande wangu namuona lowasa anafaa kwa sababu zifuatazo
1. Lowasa ni mchapakazi hebu tuangalien utendaji wake wa kazi kuanzia alipokuwa kituo cha AICC hadi ktk uwaziri mkuu mbali na shule za kata hata maji ya z victoria kutumika pamoja na kituo cha ihelele aliinitiate yeye, kumbukeni utendaji wa ofisi za wizara na srikali ktk kipindi chake inamanisha ni mchapakazi.
2. Kashfa ambayo imemchafua ya richmond imejawa na wingu zito, kujiuzulu kwake ni kutokana na kuwajibika kwa makosa ya wengine yeye kama waziri mkuu alikuwa hana budi, pia inawezekana alikuwa akitekeleza maagizo kutoka juu yake refer maneno ya mwakyembe 'tumeyaacha mengi kutunza dignity ya serikali' hapo kuna nini? pia kauli ya mh Lowasa 'tatizo ni uwaziri mkuu' hiyo kauli ina maana pana sana ambayo mkiielewa mtaacha chuki kwake.
3. Kumbukeni sote ni binadamu hakuna aliyeperfect wote tuna mapunufu kama kweli alihusika tunatakiwa kusamehe na tuangalie ya mbele dini zinatuhimiza kusamehe hata saa mara sabini, hata wahenga walisema 'mtoto akinyea mkono hatuukati' nasema kwa nini tumpe nafasi nyingine? Bcoz ana qualty za uongozi na ni mchapakazi na tz kwa kipindi hiki tunahitaji mtu kama lowasa. kama binadamu ana pros na cons ila advantage zake zinazidi disadvantage fikirien hilo.
3. Ni mzalendo, kwa kuchukulia mfano wa hatua ambayo jimbo la monduli imepiga ktk utawala wake ni tofauti na resources ilizo nazo kwa hiyo ni mpenda wa watu wake kwa hiyo tukimpa nchi atatuendekeza kama watz believe it or not.
Mmnyonge mmnyongeni haki yake mpeni mbona wengi tunausifia uongozi wa Ben na serikali yake wakati tunautuhumu kwa ufisadi? Acheni chuki lowasa is the man for state house
 
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa

kaumza sishindwi kuamini kama kweli umetumwa, Mazuri yakisemwa yanaonekana kuwa ni Mazuri, hakuna zuri linaloweza kuonekana kuwa baya eti tu kwasababu huna mapenzi na mtajwa, Nilifurahi nilipoona topic yako ili kwamba niyaone mazuri ya huyo laigwanani wako(fisadi kwa wengine) lakini nimegundua kuwa wewe ni mamluki kwani hakuna ulichotujuza kuhusiana na uzuri wa LOWASA, uliyoyaandika ni virai tu.
 
Waberoya kwanini amumsemi Magufuli au mwakyembe wanao chapa kazi na kuwa waadilifu? kama unachapa kazi na ni mchafu kwaheri uitajiki. Anayeitajika ni magufuli prototype.
Kwani mnagawiwa ikishapitishwa dowans?????????? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:twitch:

Nao wana mazuri yao pia na mabaya yao. Leo ni zamu ya Mhe Lowassa
 
LOWASA ni 80% better than mtoto wa mkulima but he can take us no weaaaaaaa.
 
Congrats! tuko pamoja, niko na wewe! namsifia Lowassa kwa kuanzisha shule za kata anayebisha aje kwa hoja nzito, nimweleze umuhimu wake. umeeleza moja na zuri hili wengi hawalioni wamebaki kufuata mkumbo wa kulaumu tu. shule za kata are best kama watanzania tutaamua zitukwamue!

Nisaidie Shule za kata ameanzisha LOWASA au ni ilani ya uchaguzi ya ccm?
 
Back
Top Bottom