Upande wa nyumba unapangishwa sinza mori!

NET JOBS

Member
Apr 18, 2011
10
0
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia.

Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk.

Malipo ni elfu 30 (Tsh 30,000) kwa siku.

Malipo kwa kila siku, wiki au Mwezi yanakubalika.

Inafaa kwa watu wenye kutaka mkataba wa muda mfupi kimakazi au kiofisi.

Maombi yote yatumwe kupitia email: mapinduzichinga@gmail.com

Karibu!

Mh 30,000. per day kwa mwezi ni shs ........?

Ni hesabu ya wazi kabisa, ndio maana inafaa wale wenye kipato cha uhakika kwa siku, wiki au mwezi! Upo sawa, ni elfu thelathini kwa siku moja.
 
laki tisa kwa mwezi,
nahic ntaendelea kubaki huku kijijin kwe2
 
Mkuu kwa mwezi ni laki tisa tu.
Kumbuka ipo Sinza. Huko ndipo alipokuwa anaishi kanumba.

"anaishi kanumba"!! Najua mimi siwezi hzo gharama, ila hicho kigezo ulichotumia kwenye "theory" za uchumi hakipo. Ina maana angekuwa haishi kanumba bei ingekuwa tofauti?
 
teh teh teh kaaaaaaaaaazi kweli kweli, Kuna haja ya kuanza kuwatoza hawa watoa matangazo
 
Mkuu kwa hiyo bei unauwa.... Me nna nyumba inapangishwa victoria.... Ipo kwenye eneo kubwa.... Inafaaa kwa ofice.... Ina vyumba vitatu viwili master. Sitting room. Dining room na jiko. Ipo kwenye eneo tulivu na salama.. Bei kwa mwezi milion 2!!!
 
Mh 30,000. per day kwa mwezi ni shs ........?

sio siri hiyo bei ni kubwa, na ukubwa bei hiyo umesababishwa na kuitathimini kama sehemu ya biashara pia, naamini ingekuwa ni makazi tu, bei ingekuwa chini kidogo!
 
Dah...Na haka ka mshahara ka laki mbili na arobaini.. Ngoja nijifiche huku chochoroni!
 
Kama ina quality ya family suite sio mbaya, maana ukienda hoteli huezi pata kwa bei hiyo ukiwa na kakid kako na wife it still pays. kwa makazi ya muda mrefu nadhan hailipi.
 
milioni 2 kwa mwezi!!!

Mkuu kwa hiyo bei unauwa.... Me nna nyumba inapangishwa victoria.... Ipo kwenye eneo kubwa.... Inafaaa kwa ofice.... Ina vyumba vitatu viwili master. Sitting room. Dining room na jiko. Ipo kwenye eneo tulivu na salama.. Bei kwa mwezi milion 2!!!
 
sema nyumba upande inakodishwa sio kupangishwa,

Kama ni kwa bei ya kukodi ni sawa.

na kama ni kukodishwa , je ni apartment ? kwa maana ipo full furnished?

Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia.

Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk.

Malipo ni elfu 30 (Tsh 30,000) kwa siku.

Malipo kwa kila siku, wiki au Mwezi yanakubalika.

Inafaa kwa watu wenye kutaka mkataba wa muda mfupi kimakazi au kiofisi.

Maombi yote yatumwe kupitia email: mapinduzichinga@gmail.com

Karibu!

ukiishi uwe makini na brain konkasheni

makubwa, nimecheka mwenyewe hadi wata wananishangaa huyu bwana vp anajichekea hovyo!
Hivi unakuwa unapanga nyumba yenye furniture au ndo kwanza ulete furniture zako? Kama haina furniture sahau kabisa kupata mtu wa kupanga hapo!
We unafikiria kwa mfano mtu anakuja ana nia ya kupanga for two weeks na ni wa mkoani yupo mjini kikazi ataishi vp ukizingatia hajaja na furniture wala hana mpango wa kununua.?usitamke laki tisa kirahsi hvyo huo ni mshahara wa walimu wawili wenye degree.
 
Back
Top Bottom