Uozo wa Takukuru

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Mkurugenzi wa Takukuru mkoa wa Tabora kaswekwa selo na kufunguliwa mashitaka baada ya kumpiga hadi kupoteza fahamu Mganga mkuu wa mkoa wa Tabora aliekua anamhoji.Kisa cha mganga kupigwa eti aseme anapata wapi hela za kulewea kila siku.Mtu mwenye upeo huu tutegemee nini kutoka kwake? na vita dhidi ya rushwa sidhani kama itafaidika na ufatiliaji wa kiasi cha bia kinachonywewa na watu.Ingekua huyo mganga anajenga hekalu labda kidogo ningeweza kuelewa.
 
Mh! Hii mbona kali,inanikumbusha yale mambo ya 70's and 80's.
 
Back
Top Bottom