UOZO wa LUGHA walivamia BUNGE...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Kwenye mtandao wa Bunge kuna maelezo haya kwa Kiingereza:

Hon. Janeth Mbene, who was recently appointed Member of Parliament by President Jakaya Kikwete and subsequently as the deputy Minister for Finance, was among the four new Mps who takes aorth…

Nini sasa hiki? Huu ni mfano mdogo tu.Uozo huu wa kung'ang'ania lugha za watu upo mwingi tu kwenye sehemu nyeti kama Bunge,Wizara,na Mahakama.Si tutumie tu Kiswahili chetu jamani? Sisi nao...
 
Kingereza ni janga la taifa.

Serikali yetu tukufu ya CCM imeandaa wasomi wa ukweli. Watakapoingia bungeni ndo watakaotupatia heshima hata kimataifa. Subirini wamalize kusoma shule zetu za kata.
 
....Mumemkumbuka Mwakyembe sasa....kwenye kikao cha kuwachagua Waheshimiwa wa Bunge la EA.

...".Sio tuwachague hapa halafu mkifika kule mkajifiche chini ya meza..."

Teh...teh..teh:heh:
 
kwenye mtandao wa bunge kuna maelezo haya kwa kiingereza:

Hon. Janeth mbene, who was recently appointed member of parliament by president jakaya kikwete and subsequently as the deputy minister for finance, was among the four new mps who takes aorth…

nini sasa hiki? Huu ni mfano mdogo tu.uozo huu wa kung'ang'ania lugha za watu upo mwingi tu kwenye sehemu nyeti kama bunge,wizara,na mahakama.si tutumie tu kiswahili chetu jamani? Sisi nao...

i hope the learned fellow mwigulu mchemba has not seen that, otherwise he would have already presented it during parliamentary sessions same way like what he is currently doing against chadema's budget presentations.
 
Kwenye mtandao wa Bunge kuna maelezo haya kwa Kiingereza:

Hon. Janeth Mbene, who was recently appointed Member of Parliament by President Jakaya Kikwete and subsequently as the deputy Minister for Finance, was among the four new Mps who takes aorth…

Nini sasa hiki? Huu ni mfano mdogo tu.Uozo huu wa kung'ang'ania lugha za watu upo mwingi tu kwenye sehemu nyeti kama Bunge,Wizara,na Mahakama.Si tutumie tu Kiswahili chetu jamani? Sisi nao...

Hao waandishi walisoma wakati wa migomo ya waalimu imeshaanza.
 
mkuu wamekusikia na wako ktk mkakati wa kuiupdate website ya bunge. dakika chache zilizopita nimejaribu kufungua web ya bunge lkn nimekuta imepigwa kufuli. lets hope wanarekebisha mapungufu mbalimbali eg CV za waheshimiwa zilizo kosewa n.k ingawa zingine hazirekebishiki hata ufanye nini.
 
....Mumemkumbuka Mwakyembe sasa....kwenye kikao cha kuwachagua Waheshimiwa wa Bunge la EA.

...".Sio tuwachague hapa halafu mkifika kule mkajifiche chini ya meza..."

Teh...teh..teh:heh:

wengine walidhan wanaonewa
 
Serikali yetu tukufu ya CCM imeandaa wasomi wa ukweli. Watakapoingia bungeni ndo watakaotupatia heshima hata kimataifa. Subirini wamalize kusoma shule zetu za kata.

c nao watakuwa wameshakatwa na hizo shule za kata.
 
mkuu wa nchi kwenye mkutano wa davos alitumia neno moja ''manufacturing of teachers''. hii lugha ni msiba kwa walio wengi
 
Nilimsikia 'mheshimiwa' mmoja akisema, ..."as you know, we have no mobile microphones..."

Nilikuwepo kwenye dhifa aliyoandaa Balozi wa Vatican tarehe 29 Juni 2012 nyumbani kwake ambapo aliwaalika mabalozi wote walio nchini, maaskofu wote wakatoliki wa nchini na deplomats mbali mbali. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Membe alikuwa mgeni rasmi. Wakati anatoa hotuba yake nilitamani ardhi ipasuke niingie.
 
Jamani walimu wa lugha mnaona haya mambo?Mbunge wetu huku Singapore amewahi kumsifu mama mmoja akasema "you look good".
 
Njoo vyuoni uone tatizo lilivyo kubwa.Kiingereza ni janga kubwa kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu.Kujieleza kwa sentensi kumi ni ishu.
 
Back
Top Bottom