Uozo uliopo St. Mathew's secondary school

minjingu

Member
Apr 24, 2012
10
6
Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St. Matthews secondary school (Mkuranga coastal region) Kongowe Mkuranga.

Yaani nilielezewa ikaniuma sana. Shule hii imeajiri degree levels wengi sana lakini haifuati sheria za uajiri. watu wanafanya kazi miaka kadhaa kwa mikataba ya penceli. Hivi juzi kuna dada mmoja alikuwa mjamzito tangia mwezi wa tano wakaanza kumsImanga, oo wewe ni mjamzito na hujaolewa kwa hiyo umejifukuzisha kazi mwenyewe.

Mwingine amejifungua akiwa maternity leave akakutana na phone call ya redundance. Hamna cha kukatwa kodi, hamna kujiunga na mifuko ya hifadhi. Mishahara yenyewe wanapewa mkononi ili kukwepa kodi. Kama kuna mwandishi yeyote wa habari, mwanasheria au kiongozi wa serikali mkereketwa naomba afuatilie hii.
 
Siamini hao walimu kama wana degree kweli? Yani hawajui taratibu za kazi? Au walienda kuomba tempo? Wawashitaki hao uongozi wa shule,sheria za kazi mama mzazi atapewa maternity leave ya siku 90 sasa kama amefukuzwa atafute wanasheria wamsaidie na pia next time ukiajiriwa na kama hauna mkataba nenda wizara ya kazi wakavamie hapo shule ghafla
 
ukituliza brain utagundua matatizo haya yanasababishwa na wafanyakazi wenyewe kwa kuendekeza njaa.

UMOJA NI NGUVU (ilikuwa hivyo jana, iko hivyo leo na itakuwa hivyo kesho)

Wafanyakazi waungane, wadai mikataba na mafao wanayostahili. Ikishindikana wagome, shule ifungwe.

Sisi Watanzania ni watu wavivu kwenye mambo muhimu. Si ajabu watu hao hao ni mabingwa wa kuchangiana na kuungana mkono kwenye harusi na kitchen party, lakini kwenye haki zao ...ZERO!

TUBADILIKE!
 
Utakuwaje na degree na bado upelekwe kama hujasoma?
kosa ni la hao walimu
OTIS
 
Tatizo mwenye shule ana mkono wa serikali. hata hiyo wizara ya kazi itagonga mwamba kwani wataishia getini. haiwezekani awe na kiburi namna hii.
 
Mmiliki wa shule hiyo ana roho mbaya kuliko shetani, aliwahi kukata bomba la maji safi la shule ya jirani na yake akaunganisha bomba la maji machafu so wanafunzi wa shule jirani na kwake wakawa wanatumia maji machafu bila kujua, madogo waliharisha sana mpaka kuja kujua chanzo ilikuwa balaa.
 
mimi naona dawa ni kumuwajibisha. hata wakimtetea. acha hilo tu, alishawahi kuwashikia walimu bastola. ni kweli hawa walimu waliopewa redundance illegaly wana haki ya kushtaki ila wengi wao wanaogopa kuingia mikononi mwa huyu dictator. mweye uwezo wa kuwasaidia hata ki ushauri wawasaidie. nashikwa na hasira kumuacha huyu dictator
 
more than 1000000. Externally ile shule ni kubwa na watoto wengi wa viongozi wa juu husoma pale
 
more than 1000000. Externally ile shule ni kubwa na watoto wengi wa viongozi wa juu husoma pale

forget about 'watoto wa wakubwa, mkono wa serikali, ana bastola, etc' GET ORGANISED, STAND UP FOR YOUR RIGHTS, or shut up and keep suffering till doons day.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St. Matthew’s secondary school (mkuranga-coastal region) kongowe mkuranga. Yaani nilielezewa ikaniuma sana. Shule hii imeajiri degree levels wengi sana lakini haifuati sheria za uajiri. watu wanafanya kazi miaka kadhaa kwa mikataba ya penceli. Hivi juzi kuna dada mmoja alikuwa mjamzito tangia mwezi wa tano wakaanza kumsumanga, oo wewe ni mjamzito na hujaolewa kwa hiyo umejifukuzisha kazi mwenyewe. mwingine amejifungua akiwa maternity leave akakutana na phone call ya redundance. hamna cha kukatwa kodi, hamna kujiunga na mifuko ya hifadhi. mishahara yenyewe wanapewa mkononi ili kukwepa kodi. kama kuna mwandishi yeyote wa habari, mwanasheria au kiongozi wa serikali mkereketwa naomba afuatilie hii sule.

sule nzuri hiyo!
 
Huyo mwenye iyo shule ni muhaya mmoja anaitwa mtembei aka papa mtembei anaroho mbaya kama ya mbwa mwi2 kwa anatabia mbaya ya kutembea na wafanyakaz alitembea na kumdinya matron wa a level anaitwa renada,huyu mtembei anapenda kusifiwa kama Mungu anakabendi kake kanacho msifia kwa ujinga by the way yeye ndie mkusanyaji kodi wilaya mzima ya mkulana mwizi mkubwa
 
Mimi ninachoona siyo fair kukubali m2 anyanyase binadamu wengine kwa sababu kabila lina tabia hiyo. cha muhimu ni kumuwajibisha
 
Ni EX - SILIPO alikuwa mji kasoro bahari aliibuka 1994 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi uliposusiwa yeye akiwa mweka hazina wa NCCR MAGEUZI.
Mkianzia hapo mtamjua mazuri na mabaya ya huyu jamaa. Ana roho nzuri sana lakini pia kama mlivyomzungumza anapenda sana kuabudiwa/
Inawezekana akawa mhaya wa maeneo ya Bugabo maana kuna jamaa alicheza mpira zamani Balimi akiitwa Mtembei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom