Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Ninaishi U.S.A. Mara nyingi napenda kuwasiliana kwa simu na jamaa zangu huko nyumbani Tanzania na marafiki wengine walioko Uganda. Kinachonishangaza ni hiki: Iwapo unaweka $ 2 kwenye simu na unampigia mtu wa Tanzania unatumia dakika 11 za Maongezi. Lakini ukiweka $ 2 na kumpigia simu mtu aliye Uganda unatumia dakika 30 za maongezi.

Sasa najiuliza hivi Tanzania tunakwenda wapi? Mbona kila kitu kinakuwa kigumu? Tutafika kweli? Ndio kusema maisha ya watanzania ni magumu mno zaidi ya mara mbili kuliko Uganda? Au hayo ndiyo malupulupu ya ufisadi? Tanzania inasikitisha! Jamani watanzania tumuombe Mungu ainusuru nchi yetu kutoka mikononi mwa vibaka!
 
hata uk hiko hivyo tena wanasema sisi ni expensive network, wakati kupiga simu uganda very cheap india ndio usiseme ni kama bure ndio maana wenzetu wanendelea sisi tunajikongoja
 
Ninaishi U.S.A. Mara nyingi napenda kuwasiliana kwa simu na jamaa zangu huko nyumbani Tanzania na marafiki wengine walioko Uganda. Kinachonishangaza ni hiki: Iwapo unaweka $ 2 kwenye simu na unampigia mtu wa Tanzania unatumia dakika 11 za Maongezi. Lakini ukiweka $ 2 na kumpigia simu mtu aliye Uganda unatumia dakika 30 za maongezi.

Sasa najiuliza hivi Tanzania tunakwenda wapi? Mbona kila kitu kinakuwa kigumu? Tutafika kweli? Ndio kusema maisha ya watanzania ni magumu mno zaidi ya mara mbili kuliko Uganda? Au hayo ndiyo malupulupu ya ufisadi? Tanzania inasikitisha! Jamani watanzania tumuombe Mungu ainusuru nchi yetu kutoka mikononi mwa vibaka!

Acha kujipa ujiko wewe, si lazima utaje nchi
 
acha wivu wewe
mimi niko ruvuma nina moderm yangu nakamua net kila siku nakula bata !! ungekuwa unajua kazi anazofanya usa usingemuonea donge lolote
@new york city
bwa ha ha ha ha !!!!!!
 
hata wewe saint ivuga una majungu
kazi kweli
kweli dunia tambala bovu, sasa mlitaka asemeje yeye huyo IRNGA na hakitaka kupiga simu
kutoka USA ni ghalama sana?
au mnafahamiani
 
Mambo yote haya si ya kulalamikia Tanzania tu. Kama uko USA jaribu kutumia kiasi hicho cha Pesa na kupiga ulaya utapata dakika tatu tu afadhali tanzania unapata dakika 11. Jaribu kufanya utafiti kwanza kabla hujalalamikia hilo maana kwangu naona ni afadhali kuliko baadhi ya nchi kama Djibuti ndo utalia na kusaga meno.
 
Ulaya gani ulikopiga wewe? Kwa hiyo tushukuru kuwa rate kwetu ni cheap kuliko Djibout? For the same logic, basi sisi ni matajiri, maana bei za vitu si sawa na Zimbabwe.
 
Acha kujipa ujiko wewe, si lazima utaje nchi

Kwako kuwa USA ni ujiko? Acha ujinga, ina maana hujawahi kufika Olkesmet (ambako jamaa alie USA inawezekana hajui hata paliko)? Jivunie na wewe kutaja uliko kama unadhani mtu kutaja alipo ni ujiko.
 
Mambo yote haya si ya kulalamikia Tanzania tu. Kama uko USA jaribu kutumia kiasi hicho cha Pesa na kupiga ulaya utapata dakika tatu tu afadhali tanzania unapata dakika 11. Jaribu kufanya utafiti kwanza kabla hujalalamikia hilo maana kwangu naona ni afadhali kuliko baadhi ya nchi kama Djibuti ndo utalia na kusaga meno.
kwa hiyo sisi unataka tujifananishe na djbout? wafuga mbuzi wale? wakati sisi tuna k'njaro, madini, mito, mererani, mwadui, manyara, serengeti, ngorongoro, kiwira............... endelea kutaja
 
Ninaishi U.S.A. Mara nyingi napenda kuwasiliana kwa simu na jamaa zangu huko nyumbani Tanzania na marafiki wengine walioko Uganda. Kinachonishangaza ni hiki: Iwapo unaweka $ 2 kwenye simu na unampigia mtu wa Tanzania unatumia dakika 11 za Maongezi. Lakini ukiweka $ 2 na kumpigia simu mtu aliye Uganda unatumia dakika 30 za maongezi.

Sasa najiuliza hivi Tanzania tunakwenda wapi? Mbona kila kitu kinakuwa kigumu? Tutafika kweli? Ndio kusema maisha ya watanzania ni magumu mno zaidi ya mara mbili kuliko Uganda? Au hayo ndiyo malupulupu ya ufisadi? Tanzania inasikitisha! Jamani watanzania tumuombe Mungu ainusuru nchi yetu kutoka mikononi mwa vibaka!
Weye bwanamkubwa hebu kuwa unafanya homework kabla haujawambia wengine hawafanyi yao. Moja ya kitu kinacho fanya kuwa gharama sana kupiga simu home ni nyie huko mnabeba mabox na kutoingia ubia na hao watu wa mambo ya mtandao wa mawasiliano wanazania watanzania mpo wachache sana ndo maana hawafikirii kushusha bei wanadhani watapata hasara. Watu wengine kama waindi wapo kibao huko na wanakula sambamba na watu wa mambo ya mawasiliano ndo maana kupiga kwao ni cheap. Nakushauri wacha kubeba box na join telcom world kama unataka magauzo uwajulishe kunanchi inaitwa tanzania na wambie wabeba mabox wangapi wapo huko mnaweza mkaelewana biashara na kunufaika. Vinginevyo wee endelea kutaabika tuu. Sasa wewe upo huko unatakiwa uwakilishe nchi yako badala yake unailalamikia daa. sasa si nibora tungepeleka mbuzi huko ale majani wee alafu Xmass tumrudishe akiwa amenepa ma maGM Food tule. He hee natania mkuu, cha msingi kaza mkanda ongea na hao watu watelecoms wambie tuu wabongo mpo wengi huko wawapunguzie bei au mtatumia Skype tuu.
 
Yani wewe ulieandka thread hii inawezekana kabisa akili zako zipo kwenye makalio yako...jaman tangu lini rais kuchangia maendleo ikawa kujipendkeza...hv hao chadema ni kina nani nchi hii...urais wataendlea kuuota na bdo jk ni rais wetu ukubali ukatae...jemedari mkuu jakaya....mpga kelele slaa
 
Acha kujipa ujiko wewe, si lazima utaje nchi

Useless people. Tutaendeleaje kama kuna watu wenye mentality ya kuwa mtanzania kusema anaishi nje ya nchi basi ni kujitafutia ujiko.

Back in the days aina hii ya watu walikuwa wakifahamika kama watoto wa mama...like I said useless people ni kula kulala tu.
 
Nadhani kuna maada za moto nyingine zinazohitaji kuchangiwa na watu wenye uelewa mpana kuliko hii ambayo mie naona ni nyepesi mno!
 
Yani wewe ulieandka thread hii inawezekana kabisa akili zako zipo kwenye makalio yako...jaman tangu lini rais kuchangia maendleo ikawa kujipendkeza...hv hao chadema ni kina nani nchi hii...urais wataendlea kuuota na bdo jk ni rais wetu ukubali ukatae...jemedari mkuu jakaya....mpga kelele slaa

Kati ya maandiko ya mtoa hoja na ulichoandika hapa yupi akili zake ziko ktk makalio. Matusi ni weakness inaonyesha kuwa huna hoja zaidi kutukana.
 
Acha kujipa ujiko wewe, si lazima utaje nchi

Jamani mpaka lini tutakuwa wenyekupenda kusemana? mbona jama anasema kwa upole nakuelezea mambo yalivyo ndugu yangu umejisikiaje aliposema yupo USA? maisha ni yale yale inawezekana hom nibora zaidi lkn si vema jamvi moja kufokenana kumbukeni miiko ya hapa jamvini.
 
Acha kumdharau mamako wewe!

Asante kwa kumwambia huyo jamaa hii.
Sio mama yake tu, tuna wake zetu, dada, watoto na marafiki.
Bottomline ni kwamba hakuna ustaarabu kwenye sentiment yake hiyo.
 
Back
Top Bottom