Uozo Mwingine Uwanja wa Ndege DSM

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Leo majira ya saa8 mchana nilimsindikiza my wife alikuwa anasafiri na Fly Emirates....nilimfikisha JNIA(JULIUS NYERERE INT. AIRPORT) Salama salimini...niliendelea kukaa maeneo ya kiwanja mpaka saa 1 baadae...mara kukatokea taharuki,Ndege ya Emirates inarudi..polisi wanakmbiakimbia,watu wa usalama wa Taifa,wategua mabomu na Mbwa zao za kunusa mabomu wakaizunguka Ndege...ajabu na kweli n kuwa Rubani alishindwa kuendelea na safari baada ya abiria kugundulika kuwa amepanda na silaha(pisto)...ikawa taharuki kwa Rubani hewani ikabidi arudishe ndege..maswali yakawa je usalama u wap ktk uwanja wetu?mpaka mtu amepita na silaha adi ndani ya ndege,je vyombo vyetu vya usalama JNIA vinafanya nini?na kama uyo Mama(mmiliki wa silaha) asingejisalimisha kwa pilot usalama wa abiria wengne ukoje? TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIWAJIBIKE!
 
pale kuna ulinzi gani mkuu,watu wanapita na madawa na hakuna kitu kinachoweza kugundua,bado tupo nyuma sana ktk mambo ya teke linalokujia
 
Na mimi nimeshangaa mkuu...pale kuna screening mashine karibu nne..tuseme zote mbovu?
 
Inasikitisha sana kwa tukio hilo lisilo la kawaida!
Nashindwa kujua nini kilitokea kwa watu wa Airport Security hadi silaha ikapita ikiwa kwenye Hand-Luggage!
Wakaguzi wote wa zamu hiyo wanalazimika kutoa maelezo ya kina, na Mwajiri wao kulipia delay hiyo!
Gharama ya ndege jamii ya Boeing kupaa na kurudi uwanjani kwa emergency ya uzembe-uzembe ni kubwa mno, yapasa waliohusika wawajibike!
 
Pale ni uozo mtupu! Utafikiri kituo cha daladala
 
Kumbe ule ukaguzi wanafanyaga pale ni danganya toto?
Aibu nyingine hii., dah..!
 
Inasikitisha sana kwa tukio hilo lisilo la kawaida!
Nashindwa kujua nini kilitokea kwa watu wa Airport Security hadi silaha ikapita ikiwa kwenye Hand-Luggage!
Wakaguzi wote wa zamu hiyo wanalazimika kutoa maelezo ya kina, na Mwajiri wao kulipia delay hiyo!
Gharama ya ndege jamii ya Boeing kupaa na kurudi uwanjani kwa emergency ya uzembe-uzembe ni kubwa mno, yapasa waliohusika wawajibike!

Umezungumza vizuri lakini kuwawajibisha hao jamaa ni kuwafukuza kazi tu.
Usifikiri ni bahati mbaya ni makusudi kwa maana ya rushwa imetembea.
 
Pale kazi yao ni kuzuia Juice na Pafyumu ili baadae wagaiane kwa ajili ya kuuza kwenye maduka yao ya vipodozi.
 
Huko kwenye ndege waligunduaje kuwa jamaa ana mguu wa kuku?alikuwa anataka kuenda kuidondosha boeing ikulu nn?
 
Kumbe ule ukaguzi wanafanyaga pale ni danganya toto?
Aibu nyingine hii., dah..!
airport imeoza na kuhusu uwajibikaji tanzania hatuna uadilifu huo

uwanja wa ndege ndio reception ya nchi so mgeni akitua ndio anajua hii nchi ni chafu full stop
 
Leo majira ya saa8 mchana nilimsindikiza my wife alikuwa anasafiri na Fly Emirates....nilimfikisha JNIA(JULIUS NYERERE INT. AIRPORT) Salama salimini...niliendelea kukaa maeneo ya kiwanja mpaka saa 1 baadae...mara kukatokea taharuki,Ndege ya Emirates inarudi..polisi wanakmbiakimbia,watu wa usalama wa Taifa,wategua mabomu na Mbwa zao za kunusa mabomu wakaizunguka Ndege...ajabu na kweli n kuwa Rubani alishindwa kuendelea na safari baada ya abiria kugundulika kuwa amepanda na silaha(pisto)...ikawa taharuki kwa Rubani hewani ikabidi arudishe ndege..maswali yakawa je usalama u wap ktk uwanja wetu?mpaka mtu amepita na silaha adi ndani ya ndege,je vyombo vyetu vya usalama JNIA vinafanya nini?na kama uyo Mama(mmiliki wa silaha) asingejisalimisha kwa pilot usalama wa abiria wengne ukoje? TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIWAJIBIKE!

Kaka ulikuwa unajidunga pale Flamingo Bar nini???
 
Embu acha ujinga wakutudanganya hapa,Pale kabla hujaingia ndani ku check in wanakukagua na kuna screening inafanyika pale na kuangalia thru metal detector kama unakitu chochote,na inakupasa kutoa mkanda wako kama ni wa chuma na viatu uvue,ukishapita hapo unaingia ndani ku chek-in,na ukishamaliza hapo unapita tena kwa security wengine ambao wanakukagua tena kabla hujaingia kwenye sehemu ya ku-board ndege sasa unataka kuniambia sehemu zote mbili hizo huyo mama alipita hajakaguliwa au ni vipi?wewe ushawahi kusafiri kweli au unahadithiwa tuu hadithi?Kuna taratibu za mtu anayetaka kusafiri na silaha yake ambayo hapewi aingie nayo kwenye ndege,itakabidhiwa kwa pilot na ataichukua pale atakapofika mwisho wa safari..Kadanganye chekechea na hii mada yako isiyokua na tija
 
Julius Nyerere International Airport. wanamdhalilisha mwalimu tu! Bora ibadilishwe jina, airport imekaa kama soko ivi, wanazidiwa hata na kalounge ka azam marine pale bandarini. dawa yao hawa ni kuuliwa tu ndo nchi itakaa sawa hii
 
Kwanza naogopa kusikia kuwa bastola inaweza kukabidhiwa kwa pilot! - itakuwaje kama pilot ni suicidal? Lakini kuhusu hii habari usiipuzie kirahisi hivyo kwa kutegemea mifumo. Unajua hata pale Benki Kuu kulikuwa na vitengo vya kila aina kuhakikisha taratibu za fedha zinafuatwa lakini EPA ilitokea. Labda la kuuliza kwanza ni - je ni kweli kuna ndege ambayo ilirudi na kushindwa na safari na kwanini?

By the way -
habari za ndani zinadokeza ni mwanamke wa kizungu ambaye alichukua begi la mume wake ambalo lilikuwa na silaha akifikiria ni la kwake (labda mtu aliyempangia mzigo). Mume ndiye aliyepiga simu kumuulizia mkewe na mkewe akaenda kuangalia hiyo hand bag na kukuta ni kweli anayo silaha na the rest ndiyo kama ilivyotokea.
 
Nchi yetu sasa hivi, wafanyakazi wengi serikalini wanafanya kazi kama wana hangover vile. Airport yetu pale, wanawasumbua watu wasio na tatizo lolote. Wale wenye matatizo wanapita kirahisi maana ndio marafiki zao
 
Back
Top Bottom