Uongozi wa serekali za wanafunzi vyuo vikuu

Status
Not open for further replies.

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,060
309
Inaelekea vyuo karibia vyote vinaongozwa na serekali ya wanafunzi yenye itikadi za chadema..naombeni tutaje vyuo na uongoz wake ili 2jue kipi ni cha magamba..
UDSM-CDM
UDOM-CDM
ST AUGUSTINE-CDM
endelezen
 
Hivi kifupi cha CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO ni kipi? CHADEMA ama CDM?
 
kama ndivyo heri japo sina hakika kama wanaweza kubadili hali ya mambo vyuoni, nilikua udsms jana watu wa ccm walikua na pesa nyingi ambazo inasemakana ilitoka kwa mwakalebela ili kutoa rushwa mgombea wa ccm ashinde, walikua na orodha ya namba za simu na wakaenda kwa muuza vocha pale mabibo hostel nje na kila namba iliwekewa vocha zilikua takribani namba 180 za simu za wana udsm.
 
kula ccm,kura chadema
 
Selikali haijaliacha lipite hivi hivi ukitaka kujua tafuta GN178 utapata kufunuliwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom