Uongozi wa CHADEMA UMEOZA?

Ivi JEYKEYWAUKWELI we ni mtanzania kweli ndugu yangu au ni ushabiki tuu usio kuwa na msingi kwako na kwa familia yako, wewe hali ya nchi yetu umeiona lakini Giza, maji hakuna mikataba mibovu,IPTL, DOWANS madini kama Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee Duniani na vingine Vingi mwananyamala hospital mama zetu na ndugu zetu wanakufa kwa huduma mbaya viongozi wao wanatembelea ma VX V8,

Thamani ya VX moja ni vitanda vya Mwananyamala hospitali nzima ambayo sasa ndugu zetu wanalala wawili wawili mmoja anakifua kikuu mwingine HIV pima hilo. wakati wizara moja ya JEykey ina VX 50 na VX moja ni 280milioni sasa wewe bado tuu hili kwako huoni.

Jaribu kuacha ushabiki na ukae ufikiri kwamba kesho wewe na huo mfereji wa ufisadi ulio kupitia mpaka unapata vihela vya kuishi na kuwa mshabiki utaisha na watoto wako watakuja kuteseka kwa maisha kama haya yasio kuwa na matumaini, jaribu kuwa mzalendo na Mtanzania wa kweli sio mshabiki. sio CHADEMA WALA CCM BALI NI SISI WANANCHI NDIO WAKULETA MAENDELEO KATIKA NCHI YETU TUBADILIKE NDUGU ZANGU.
 
jeykey, katika watu mambumbu na wasaliti wa haki na ukweli wewe ni mmoja wao. Na kwa taarifa yako huwezi kutu fool hapa hata kidogo sisi tupo makini na tunajua nini tunafanya sio wewe limbukeni kada wa ccm,usiejua matumizi sahihi ya creative imagination faculty ya ubongo wako kusoma mambo in four basic of phylosophical fields such as metaphical, estimological,ethical and aethetical. Umefilisika ki fikra. Hutufai na hata hustahili kuitwa mtanganyika. Wewe ni fisadi na unaupenda ufisadi kwa vile unakunufaisha. Mtahukumiwa kwa nguvu za haki na ukweli.
 
Hivi huyu jeykeywaukweli anadhani jukwaa hili ni la kitambwe hiza?
 
jeykey, katika watu mambumbu na wasaliti wa haki na ukweli wewe ni mmoja wao. Na kwa taarifa yako huwezi kutu fool hapa hata kidogo sisi tupo makini na tunajua nini tunafanya sio wewe limbukeni kada wa ccm,usiejua matumizi sahihi ya creative imagination faculty ya ubongo wako kusoma mambo in four basic of phylosophica fields such as metaphical, estimological,ethical and aethetical. Umefilisika ki fikra. Hutufai na hata hustahili kuitwa mtanganyika. Wewe ni fisadi na unaupenda ufisadi kwa vile unakunufaisha. Mtahukumiwa kwa nguvu za haki na ukweli.
 
Mbona hutoe sababu za msingi? Naona kama unaongea kwa kuhisi? Wewe nani kakuambia chadema wamemvua vyeo au uanachama zitto?.
Tuoeleze kwa nini unasema uongozi wa chadema umeoza toa sababu za msingi wana jf tukuelewe? . Nakushauri kasome nini maana ya uongozi na kiongozi anatakiwa aweje?
 
watu mtaani wanashaangaa uamuzi wa chadema kumtimua zitto u naibu bungeni, wananchi walio wengi wanajua zitto kavuliwa uongozi wote mpaka u naibu katibu wa chama

wananchi wameanza kukosa imani na uongoza wa chadema kwa kuvuruga chama
wanasema chama kinakalibia kufa kifo kibaya:target:

mkwerewaukweliii
 
mods... status ya huyu jeykey ..... "Banned" Kulikoni anaendelea kutoa paparazzi zenye uchochezi, zisizo na authenticity
 
Tujadili CCM imewaua viongozi wao wangapi hadi sasa:

1, Edward Sokoine
2. Horace Kolimba
3. Salome Mbatia
4. Amina Chifupa...?\
5.......
6......

Ongezeeni orodha hiyo tafadhali

Malima
Nyerere
Karume
Chacha Wangwe
Jidulamabambasi
Yule Mbunge wa Tunduru
Ditopile Mzuzuri Ukiwaona
Kombe wa Mailisita
Balali

Ongeza tafadhali------------
 
Ivi JEYKEYWAUKWELI we ni mtanzania kweli ndugu yangu au ni ushabiki tuu usio kuwa na msingi kwako na kwa familia yako, wewe hali ya nchi yetu umeiona lakini Giza, maji hakuna mikataba mibovu,IPTL, DOWANS madini kama Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee Duniani na vingine Vingi mwananyamala hospital mama zetu na ndugu zetu wanakufa kwa huduma mbaya viongozi wao wanatembelea ma VX V8,

Thamani ya VX moja ni vitanda vya Mwananyamala hospitali nzima ambayo sasa ndugu zetu wanalala wawili wawili mmoja anakifua kikuu mwingine HIV pima hilo. wakati wizara moja ya JEykey ina VX 50 na VX moja ni 280milioni sasa wewe bado tuu hili kwako huoni.

Jaribu kuacha ushabiki na ukae ufikiri kwamba kesho wewe na huo mfereji wa ufisadi ulio kupitia mpaka unapata vihela vya kuishi na kuwa mshabiki utaisha na watoto wako watakuja kuteseka kwa maisha kama haya yasio kuwa na matumaini, jaribu kuwa mzalendo na Mtanzania wa kweli sio mshabiki. sio CHADEMA WALA CCM BALI NI SISI WANANCHI NDIO WAKULETA MAENDELEO KATIKA NCHI YETU TUBADILIKE NDUGU ZANGU.

unayosema ni ya maana lakini anzisha thead maana hii inaongelea umakini wa viongozi wa CDM
 
watu mtaani wanashaangaa uamuzi wa chadema kumtimua zitto u naibu bungeni, wananchi walio wengi wanajua zitto kavuliwa uongozi wote mpaka u naibu katibu wa chama

wananchi wameanza kukosa imani na uongoza wa chadema kwa kuvuruga chama
wanasema chama kinakalibia kufa kifo kibaya:target:

Jamani mambo ya Masjid msilete JF jamani kina ustaadhi!
 
watu mtaani wanashaangaa uamuzi wa chadema kumtimua zitto u naibu bungeni, wananchi walio wengi wanajua zitto kavuliwa uongozi wote mpaka u naibu katibu wa chama

wananchi wameanza kukosa imani na uongoza wa chadema kwa kuvuruga chama
wanasema chama kinakalibia kufa kifo kibaya:target:

Watu wanasema, watu wanasema,wewe binafsi unasemaje?Haya maneno inaelekea yamewekwa mdomoni mwako.Afadhali ungenyamaza ungeonekana wa busara.
 
Waulize wenzio walipouliza wamesikia Slaa katumwa sijui na nani asiye mwananchi.. Unajua alijibiwaje??

Kamati kuu ya CHADEMA na Halmashauri haina muda wa kudiscuss umbea... Unajua maana ya kusema "nimesikia mitaani".. Maana "mi mmbea natanguliza zangu shukrani"...
Pole wameshakuita mshakunaku na Mzandiki na pandikizi konko la CCM
 
Najuta kupotaza muda wangu kusoma upuuzi wako Jeykey. Mkeo/mumeo akisoma upuuzi huu lazima akutaliki labda awe mwehu
 
Tujadili CHADEMA imewaua viongozi wao wangapi hadi sasa

1. CHACHA WANGWE
2.NEXT ..........z

Horace Kolimba
Kighoma Malima
Salome mbatia
Amina Chifupa
Juma Akukweti

1.jpg
 
...JEYKYWAUKWELI lini mnaenda hazina kuchukua cheque yenu? what is your cut? what are you going to do with your cut? my cut is to die from curable disease malaria simply because nimepigika na hospital yangu ya bombo haina dawa za malaria wiki ya pili sasa kwa sababu wanakulipa wewe
 
Back
Top Bottom