Uongozi UDSM wasema hapana kwa Zitto Kuunguruma

Mkuu ninamuomba Mheshimiwa Zitto, aje kutuweka sawa hapa kwenye hili kama anvyofanya kwenye mangine, au?

Mkuu kuhusu swali lako jibu lake mbona liko hapa very clear kabisa, kuwa kutokana na waandaaji wa mdahalo kutokuwa forthcoming, matokeo yake chuo kiliwapatia nafasi ndogo kuliko kama wangekua wakweli toka mwanzo wangepewa ukumbi mkubwa sana, unless nina-miss something!


5. Because the organisers had not been forthright in their application, they were allocated a smaller room, contrary to the large number of the students who turned for the lecture, which was in itself endangering the welfare of the students themselves
 
However, Mr Kabwe denied to have sneaked into the campus, saying “I Live there.” The MP was apparently referring to the fact that he was a co-parent of Ms J. Mgumia, an Assistant Lecturer in Sociology at the University.

I find this thing hapo juu to be very troubling, Mkuu Zitto, ningemuomba aje kutuweka sawa yaliyojiri maana hii response sio Zitto kabisa, au?
 
Tatizo lipo,

Ilikuwaje wakatoa kibali bila kujua mtoa mada? wala Muandaaji mkuu? Bila hata kujua ama kukadiria idadi ya wahusika? kwavyovote vile muombaji ukumbi (muandaaji) lazima ana specify ukumbi gani anao uhitaji kulingana na idadi ya washiriki anao wategemea!.

Naamini muandaaji alijua wazi watakuwa wengi washiriki ndo maana aliomba Nkuruma ambayo mwanzoni walipewa kabla ya zengwe kuanza ingilia!

Maelezo haya ya Mkandala ni sawa na majibu ya Karamagi aliyo yatoa Bungeni wakayatumia kumhukumu Zitto na kumfungia, BADO kuna mambo makubwa yaliyo jifunika katika kumkatalia Zitto zaidi ya kutofata taratibu kama anavo dai VC.


Tatizo la TZ mambo mengi yanaenda kienyeji na kwa kujuana. Sasa mhusika anapokuwa mtu ambaye anapambana na serikali hapo ndipo utasikia sheria inavyofuatwa.

Mimi ningefurahi kupata maelezo toka kwa waandaji. Pia je vyombo vya mlimani kama DARUSO na vingine vimetoa tamko? Maana kama ni kweli Zitto alinyimwa ukumbi bila sababu za msingi, ningetegemea wakali wa mlimani wawe wa kwanza kutoa tamko.

Bado naamini tatizo ni mawasiliano na kilichotokea ni funzo kwa uongozi wa chuo pamoja na waandaji wa mikutano hapo mlimani.

Kwa umaarufu wa Zitto sasa, mimi ningetegemea waandaji waseme wazi nani anaenda ili uongozi wa chuo utoe ulinzi wa kutosha na kama hawana uwezo basi kuomba ulinzi zaidi.
 
FM,
Jamaa akija natumaini atatuweka sawa.Ngoja tukae mkao wa kusikiliza kilichojili hiyo jana.
 
However, Mr Kabwe denied to have sneaked into the campus, saying “I Live there.” The MP was apparently referring to the fact that he was a co-parent of Ms J. Mgumia, an Assistant Lecturer in Sociology at the University.

I find this thing hapo juu to be very troubling, Mkuu Zitto, ningemuomba aje kutuweka sawa yaliyojiri maana hii response sio Zitto kabisa, au?

Mkuu,

Niliposma hayo maneno kwenye DailyNews, nilibaki mdomo wazi. Huenda mheshimiwa kasingiziwa, tutasikia mengi mwaka huu.
 
Nilichojua ni kuwa ZITTO alialikwa kwa barua rasmi kutoka kwa organisers,

Ninaujua utaratibu ni kuwa huwezi kupewa ukumbi kama hujataja ni nani atakuja kuzungumza , na pia swala la kupewa ukumbi mdogo nalao lina utata, ukiangalia alichosema relations officer anadai kuwa kulikuwa na mkutano wa mabalozi ndio maana wakawataka wanafunzi waahirishe , huku VC anasema kuwa hakuwa na taarifa.

Anayetoa vibali vya kumbi za chuo sio vc bali na chief administrative officer, ambaye kwa sasa ni Prof.Mgaya,

Barua ni lazima ipitie kwa Dean of students ambaye kwa sasa ni Prof,Rubagumya, sasa nashangaa vc kusema kuwa hakupewa taarifa ,

Ninachojua ni kuwa DUPSA ni taasisi ya wanafunzi wanaosomea elimu ya siasa na wanayo haki ya kuwalika wazungumzaji ,mbona 2005 walimwalika Kikwete wakati akiwa ni mgombea wa urais na hatukuambiwa haya mambo,

Ninachojua ni kuwa public talks zipo kila sku na huwa wanaalikwa watu wa aina zote kwenda kuzungumza na kuulizwa maswali na wanafunzi pamoja na maprofesa ambao wanahudhuria,

Nasubiri kuona kama bado UDASA ipo hai basi hili siamini kama watalikalia kimya, ama kama ilikufa na Prof. Chachage basi hapo itakuwa hakuna kauli.
 
The University of Dar es salaam (UDSM) yesterday cancelled a public lecture on the “The Role of Higher Learning Students in the Nation’s Development” because the student organisers did not follow proper channels.

Vice Chancellor, Prof Rwekaza Mukandala, said the varsity’ Political Science Association (DUPSA) the organiser’s of the event, also had not specified the list of key speakers. The administration had nevertheless blessed the lecture under the spirit of academic freedom.

“We were surprised to find out at the eleventh hour that a legislator was apparently scheduled to be the main speaker. Now that was not proper because we are very keen on not using the university as a ground for partisan politics,” said Prof Mukandala.

He was referring to Kigoma North legislator Mr. Zito Kabwe (Chadema), who apparently the organisers had lined as the main speaker. Prof Mukandala also said one of the organisations, Tanzania Students’ Network Programme, said to be a co organiser of the event, was not even known to him!


Hiii ni very strong statement on the events ambayo inatakiwa kuwa challenged na either Mheshimiwa Zitto, mwenyewe au watayariashaji wa huo mdahalo,

Ingawa bado tunamsubiri Mheshimiwa Zitto, aje kutuweka sawa na hilipia kama kule kwingine!
 
FM,
Naona wakuja kutupa ukweli hapa ni waandaaji wa huo mjumuiko,wao ndio wana barua za kuruhusiwa au kukataliwa na sababu walipewa.lakini zitto kama mwalikwa mwingine atakuwa na barua au kadi inayomtaka kufika hapo.
Kwa hiyo natoa wito kwa waandaaji waje hapa jamvini watupe ukweli wakiambatanisha na vielelezo vyao
 
hivi sisi hapa ni akina nani kudai sijui fulani "aje hapa kujieleza".. kutoa wazo kwamba fulani akaribishwe kusema kitu hilo sawa lakini kuact as if tunakalia viti vha enzi vya kutolea hukumu is unreasonable and a little bit arrogant. Kama mtu atakuja mwenye na aje, lakini haya kutaka kwa vile sisi haturidhi mara "leteni email" "mara njoo jieleze" mara hivi au vile.. tujenge hoja, na kama anayehusika na hoja anaona mahali hapa ni muhimu kuja kuelezea na aje kuelezea.. asipotaka kuja asije. Mbona hatung'anganii kina Mkono, Warioba waje kuelezea? let be a little bit humble.
 
hivi sisi hapa ni akina nani kudai sijui fulani "aje hapa kujieleza".. kutoa wazo kwamba fulani akaribishwe kusema kitu hilo sawa lakini kuact as if tunakalia viti vha enzi vya kutolea hukumu is unreasonable and a little bit arrogant. Kama mtu atakuja mwenye na aje, lakini haya kutaka kwa vile sisi haturidhi mara "leteni email" "mara njoo jieleze" mara hivi au vile.. tujenge hoja, na kama anayehusika na hoja anaona mahali hapa ni muhimu kuja kuelezea na aje kuelezea.. asipotaka kuja asije. Mbona hatung'anganii kina Mkono, Warioba waje kuelezea? let be a little bit humble.

Mkuu MMJ,

Heshima mbele mkuu, this is a perfect answer on the ishu na hsa kutoka kwako, binafsi sina swali tena la nyongeza ninaishia hapa,

maana sasa ninalelewa exactly kilichotokea huko UDSM, na ambacho hakikutokea

Tuendelee kukata ishus!
 
hivi sisi hapa ni akina nani kudai sijui fulani "aje hapa kujieleza".. kutoa wazo kwamba fulani akaribishwe kusema kitu hilo sawa lakini kuact as if tunakalia viti vha enzi vya kutolea hukumu is unreasonable and a little bit arrogant. Kama mtu atakuja mwenye na aje, lakini haya kutaka kwa vile sisi haturidhi mara "leteni email" "mara njoo jieleze" mara hivi au vile.. tujenge hoja, na kama anayehusika na hoja anaona mahali hapa ni muhimu kuja kuelezea na aje kuelezea.. asipotaka kuja asije. Mbona hatung'anganii kina Mkono, Warioba waje kuelezea? let be a little bit humble.

Huyo ni Mwanakijiji huyo huyo ambaye hata hataki kumwachia PM amalize mlo wake. Double standard inatutafuna kweli kweli.

Kama wananchi tuna haki ya kumwita kiongozi yeyote, kama hataki pia tutaelewa na kuendelea mbele tukiamini yale tunayoyaamini.
 
Kama wananchi tuna haki ya kumwita kiongozi yeyote, kama hataki pia tutaelewa na kuendelea mbele tukiamini yale tunayoyaamini.

Mkuu Mtanzania,

Heshima mbele mkuu, tumetoka mbali sana nafikiri utakumbuka wakati ambapo haya tunayofanya sasa ya kuangalia na upande wa pili ilikuwa ni mwiko kabisaa, lakini leo tuna wananchi wengi tu wanaopewa nafasi bila kutukanwa kwa kuchangia against upande wa pili,

kwa hiyo mkuu usiwe na wasi wasi, tunasonga mbele, ila for now unapotaka kujua undani wa ishu sio tatizo sana maana kwenye hii si ukweli uko wazi sasa kilichofanyika na ambacho hakikufanyika huko UDSM,

Hivi mkuu wangu huoni ukweli ulivyokaa mbali na uongo hapa!, unajua kuna kitu kimoja huwa tuna-avoid tunapoamua kumaliza ishus kiutuuzima kama hiii yaani political torture!
 
I think University need to be politics free environment. However teachers and students have a rights to parcipates in any political movement outside the campus.

However, University need to be neutral for any side of the coin (Upinzani & CCM). I think its not a bad move to stop his kongamano on campus.
 
Mtanganyika,
I think its not a bad move to stop his kongamano on campus.
hapo sijakuelewa kaka.
kama title ingekuwa ileile na lecturer mwingine say 'Shivji' angealikwa ingekuwa sawa? kama ndio, inamaana tatizo ni 'ZITTO' mwenyewe na siyo contents za lecture yenyewe,

Bongo kuna umafioso, na si ajabu hao wanafunzi wakajikuta kwenye matata na ufadhili wa serikali.

Na ammini palipo na njaa hakuna uhuru wala demokrasia ya kweli.
 
sijui ni vigezo gani hutumiwa pale mlimani katika kuwapata maprofessors. maana tuonapo watu kama kina mukandala wenye titles za uprofessor halafu wanasahau ethics za academic works and places pamoja na dhana nzima ya university huwa si tu wanajiabisha wao, baya zaidi ni kuwa wanavipa vyuo vyetu taswira mbaya katika ulimwengu wa taaluma kuwa bado havijameet standards za kuitwa ni vyuo hasa kwa kule kuficha kwao ukweli na kuweka mbele ukereketwa. hii ni kutokana na ile tabia chafu na tunathubutu hata kusema ni tabia ya kutojiamnini ya kuzuia midahalo katika vyuo. plattforms kama hizi siku zote zinatakiwa kuwa objective na independent kwa kuwa ni sehemu pekee za watu kuweza kueleza fikra zao na halafu kuweza kutathminiwa na wanataaluma na hatimae wananchi kwa ujumla kuweza kupata taarifa zilizo thabiti kutoka kwa wasomo wao. sasa watu kama kina mukandala wanaogopa nini? na wasichokijua ni kuwa kukataa kwao kufanyika kwa midahalo kama hii ni ithibati tosha kuwa wao hawana hoja, lakini pia ni kuonesha kuwa uprofessor wao una kasoro. na je! tukisemakuwa wao ni vibaraka wa ccm tutakuwa tunakosea? maana pia inaonekana wanajikita katika kuwalinda viongozi, ambalo ni kinyume kabisa na maadili yao. na kwa mfumo wa mukandalism thamani na hadhi ya vyuo vikuu itakuwa iko wapi?
 
additionally, mukandalism inapingana hata na katiba ya nchi ambayo inatoa na kuheshimu uhuru wa mtu kuongea na kueleza fikira zake. kina mukandala wamezoea kupingana na katiba ya nchi yetu hata pale inapokuja issue ya migomo. kugoma nayo ni haki ya kikatiba, sijui watu hawa wanazuia kwa msingi gani.
 
hao hao ukiwakuta darasani, wana mbwembwe si mchezo. mara hoo, education should liberate you... mara hoo! it should make you free... but they theselves are neither liberated, nor freed from the chains of terror. i dont know untill when........perhaps the end of the world.

That's why I prefer an intellectual than an academician. their students are keen, since the procedural illegalities have flowerished in order to obtain various academic posts, the students have learned to follow the same in preparing such meeting, something very terrible.
 
Nimepewa taarifa kuwa vijana wa DUPSA wametoa tamko kali kwa uongozi wa chuo na kulaani jinsi walivyosingiziwa kuwa hawakufuata sheria wameonyesha jinsi mkandala alivyo muongo.

Nalitafuta nikilipata nitaliweka hapa hilo tamko lao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom