Uongozi chuo cha Makumira angalieni hili..!

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
459
Ninawaomba mtoe kipaumbele kwa first year students ktk kuwapatia hosteli za ndani ya chuo hasa waliofika mapema kuanzia jana.Wengi wao ni wageni wa mji..!
 
huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni....
 
huku wanakusikia sasa!!?? Watumie email,, piga simu au waandikie kwenye sanduku la maoni....

jf ndo kila kitu..nimeshafanya yote hayo ila naamini hapa ni mahala sahihi zaidi.Hata babu yako bush huko anaijua jf sembuse viongozi wa makumira..
 
Back
Top Bottom