Uongo

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Mdingi m1 alikua anadaiwa, siku ya kulipa ikafika akawa hana "mshiko" wa kulipa deni, hivyo akamwambia mwanae mdogo wa kiume: "Baba PM akija mwambie baba amesafiri kwenda Zanzibar". Muda si mrefu mdai akafika, mazungumzo yalikua hivi:
Mdai: Kijana hujambo?
Mtoto: Sijambo shkamo'
Mdai: Marhabaa, baba nimemkuta?
Mtoto: Baba hayupo, amesafiri kwenda Zanzibar.
Mdai: Amesema atarudi lini?
Mtoto: Daah, hiyo hajaniambia, subiri kidogo niende ndani nikamuulize!
 
Huyu dogo naye ana akili kama za kima angemwambia mi sijui au akipata nauli ndo atarudisha makanyagio yake nyumbani....nna uhakika yule mzee angeishiwa maneno...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom