babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,092
- 15,987
MUENDELEZO WA MAZUNGUMZO YA MH. MO DEWJI
Katika Jimbo lake la Singida, Tangu kupata uhuru hadi mwaka 2005 kabla yeye hajawa mbunge. Kulikuwa na shule 2 tu.
Ambazo ni Dr. Salmini na Chief Senge
Shule ambazo zilikuwa zinatoa wanafunzi 360 kila mwaka.
Ila sasa baada ya kuingia Mh. Mo kuna shule 15 ambazo zinatarajia kutoa watoto 2,700.
Ikiwa ni tofauti mara nane zaidi ya mwanzo.
Shule moja ina mikondo 4 na kila darasa lina wanafunzi 45.
Hivyo kila shule ina watoto 180 wanaomaliza na kufanya mtihani wa kidato cha nne. form 4
Changamoto kubwa alionayo Mh. Mo na kitu anachojiuliza kila siku ni kuwa.
Je! hawa watoto 2,700 wanaomaliza kidato cha 4 kila mwaka waende wapi??
Au waishie kidato cha nne, na jibu lake ni hapana.
Ndio maana inamlazimu kuweka mikakati ya ujenzi wa shule za kidato cha 5 na cha 6 ndani ya Wilaya yake.
Kama kwa muda wa miaka 48 (1961 - 2009) kulikuwa na shule 2 tu.
Na sasa ndani ya miaka 3 baada ya uongozi wake alifanikiwa kuwa na shule 15.
Anaamini na ana hakika hawawezi kushindwa kujenga shule zaidi .
Kinachotakiwa ni ushirikiano na kujipanga