Uongo wa PINDA bungeni

Pinda ni ndege wa sadaka, CCM wanafurahia sana kuwa na mtu kama yule. Kauli nyingi tata atasema yeye na rais wetu JK atakuwa nyuma ya kivuli cha Pinda. Akichemka yeye bado hajapoteza mvuto kama rais wetu JK.
 
Ndo tuseme watanzanania bila uongo haiwezekani?naamini kwa kumtegemea MUNGU a day to come revolutio of Tanganyika ninayoipenda na viongoz wake nisiowapenda will happen
 
Ni kweli atakua amelidanganya bunge na taifa ndio maana makinda alimzuia Godbless Lema kutoa utetezi wake kwa njia ya kulihutubia bunge huku wananchi wakishuhudia live. Ukitaka kuamini pinda alidanganya soma raia mwema la juma tano tarehe 16/2/11
 
Back
Top Bottom