Uongo wa pics za cuf arusha

TECHMAN

JF-Expert Member
May 20, 2011
2,651
1,125
Costa 8 na noah 2. zilileta watu toka Dar

Costa inabeba abiria kati ya 37 mpaka 40. X 8 = 320 + watu 16 katika Noah 2 = 336 wapo waliokuja na ndege na magari binafsi kwa hesabu ya haraka kutakuwa na jumla ya watu 350.

dscf1577.jpg dscf1583.jpg
kutokana na idadi ya wakuja, kwenye mkutano huo wenyeji wa arusha hawakuwa hata hamsini. Tazama picha waliokaa wote na wenye fulana,kofia na skafu za chama, ni wakuja. waliosimama nyuma ni wenyeji wapitanjia na wengine ni wakazi wa maeneo karibu wakishangaa.



Wapo waliofikiri kuwa picha hii chini ni Arusha. UZUSHI mtupu hii si Arusha. Wala haitawahi kuwa, CCM yenyewe haiwezi kufanya kitu kama hii huko Arusha.

CUF.jpg cuf-crowd.jpg
 
Yaani kweli Cuf wameishiwa, hizo mbinu za kuchukuwa watu wa mbali na kuwaleta kwenye mkutano ili kuujaza uwanja, zinafanywaga na ccm hasa katika maeneo ambayo hawakubaliki ikiwemo MOSHI.
Nadhani mbinu hiyo wameshauriana wakiwa chumbani kama wanandoa.
 
kwa hiyo kama haikubalikiki Arusha na kwingineko TZ haikubaliki?
 
Haaakiii!!saaawa!
Haki sawa kwa naanii?
Kwa wootee..!.
Asiyependa haki..
>aajinyoongeee..
>hafai kwny jamiii..
>aatajiijuuu..
>imekula kwaakee..
>achimbe shimo ajifukiee..
Ahsanten sana.
 
Haaakiii!!saaawa!
Haki sawa kwa naanii?
Kwa wootee..!.
Asiyependa haki..
>aajinyoongeee..
>hafai kwny jamiii..
>aatajiijuuu..
>imekula kwaakee..
>achimbe shimo ajifukiee..
Ahsanten sana.

Itaitwa MASHAUZI MORDEN TAARABU.
 
ila cuf kweli hamnazo,ss ndo nn!?yaan mbinu hz ht kijijin nw hazitumiki!...
 
Cuf wameinga mbinu ya bwana wao ccm, ambaye huwa anakuja watu wake ili umati uonekane mkubwa, wanakuwani km kibaka anayejiibia mwenyewe
 
Ivi nyinyi mnaojiona mko weng mbona hamshindi kwny uchaguz mkuu?!!!au ni pambo 2 kuwa mpo weng?
 
lakini hawa jamaa kwenye uchaguzi wa mbunge arusha walipata 2%
nashangaa kwaenye mkutano walivyojaa au ndo mambo ya julius mtatiroo na sera zake za kuvunja UdiN
 
Haaakiii!!saaawa!
Haki sawa kwa naanii?
Kwa wootee..!.
Asiyependa haki..
>aajinyoongeee..
>hafai kwny jamiii..
>aatajiijuuu..
>imekula kwaakee..
>achimbe shimo ajifukiee..
Ahsanten sana.

Sawa sawaaa....?? sawasawaaaaa....??
 
Back
Top Bottom