Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Nami huwa najuuliza swali hilo na lingine je ukisaidia omba omba barabarani ndo utapata dhawabu kwa mwenyenzi mungu?
Jibu sijui bana, maana wengine hawaamini Mungu lakini wanao moyo wa kutoa.
Kwa kuongezea tu mi nadhani it all start with our failure to solve every problem, hata lililo dogo kabisa twashindwa. Pengine kungekuwa na centres za kuwasaidia wenye shida wa aina zote na huenda walemavu wote na wenye shida wote wangeweza kusaidiwa uniformly according to mahitaji yao na pengine wasamaria wema wangajitokeza kwa wingi zaidi kama tunavoona nchi nyingine wanavyofanya kwa uwepo wa system nzuri ya kutunza hiyo michango na misaada.