Uongo wa Mizengo Pinda kuwekwa hadharani 14.02.2011

Ni hoja nzuri.
Naunga mkono.

Tatizo ni kwamba kwa kuweka hapa hizi hoja, serikali itazipata na kwenda kujiandaa kuchakachua facts. Ingekuwa vizuri zingemfikia Mh.Lema na wadau wengine, bila kuonekana hapa, ili zibebe "element of surprise".
 
Just figuring out what will be next iwapo PM ataonekana muongo..ndipo Mh. Makinda atatoa muongozo? Na Mh. Lema atachukua hatua gani nyingine? Pinda ataomba radhi? (hili naliona laja, tena kwa machozi!!).....
 
Hivi ni nani ataukwaa uwaziri mkuu maana naona ya Pinda yameshapindika itabidi aachie ngazi huwezi kulidanganya Bunge.
 
Baada ya hapo itabidi Pinda aachie ngazi kwa kosa la kulidanganya taifa!! kama hataki aangalie Tunisia,Misri na algeria
 
Pindaaaaaaaaaaaaaaaa
Chama ulichomo sicho kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Usije batizwa mtoto wa fisadi bure
 

...Pinda hakuhitaji msaada wa Makinda!!!
... Na wala hahitaji shamra shamra za huyu Mama... it was ok angemuacha Lema...
... Pinda anapata shida kwani kashatambua Mama kachemsha Big deal!!...hajui ajitoe vipi!!
... CCM wamejiweaka katika hali mbaya kuliko wnavyotegemea..
...Nihahisi wata i mis hendo hii situation ... na kuibua upya kilichokuwa kimeanz akufifia...
... wasishangae..maandamano mapya...!! nk!!
 
Wabunge wengi wa CCM ni vilaza! wagumu kuelewa mambo,wanaosukumwa na ushabiki wa chama na kutaka kuwakomoa CDM, lazima watamfungia GL. Ikitokea hivyo, naunga mkono maandamano, mimi mwenyewe ntaandamana.
 
Wabunge wengi wa CCM ni vilaza! wagumu kuelewa mambo,wanaosukumwa na ushabiki wa chama na kutaka kuwakomoa CDM, lazima watamfungia GL. Ikitokea hivyo, naunga mkono maandamano, mimi mwenyewe ntaandamana.

Kulingana na Taarifa ya Habari ya TBC1 mchana huu,ushahidi wa GLema UTAWASILISHWA KWA MAANDISHI!
Hii ni dalili ya kwanza ya kuonyesha kuwa GLema ana USHAHIDI UTAKAOMDHALILISHA MTOTO WA MKULIMA NA SERIKALI YA CCM KWA UJUMLA WAKE.
Makinda atakuwa amepata fununu za ushahidi wa GLema kwa hiyo ameona kama akimruhusu kuusoma USHAHIDI HUO MBELE YA BUNGE PINDA,MAKINDA NA CCM wataumbuka!

Tunasubiri kuona nini hatima ya kuwasilishwa kwa ushahidi huu wa GLema.Macho na masikio yetu bado tumeyaelekeza mjengoni.
 
Tunataka mbivu na mbichi zionekane. Mungubariki (MB) akishawasilisha utetezi wake kwa Supuka Mwana Ndege (anne makinda) afanye press conference.
 
Back
Top Bottom