Uongo na ukweli kuhusu mimba.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,795
Kuna baadhi ya watu huwa wanasema wana kizazi cha karibu kwa hiyo wakikutana tu na mwanaume wanapata mimba.
Jamani hivi hii imekaaje?
Mi nadhani mimba inatungwa kwa sababu yai liko sehemu inayotakiwa na limekutana na mbegu ya kiume.
Au ukweli ni upoi na uwongo ni upi?
 
hakuna kitu kama hicho kuwa uzaz uko karib, ni tabia yao hao kuendekeza ngono then wanasingizia kizaz kiko karibu.

mijitu mingine bana shida sana, wala isikupe shida mkuu buji*2
 
Hii thread imenikumbusha nilipokuwa nakuja mjini kutoka shamba.
Nilipata kibinti cha kindengereko, kikawa kinanichuna tu, nikikiomba mambo kakawa kananichomolea, kanasema kenyewe kizazi chake kiko jirani kwa hiyo kana hofu ya kupata mimba.
Nikaambia sinjunji bila kondom, kakajibu kwamba tukifanya na condom hakataona raha.
Nikahamishia majeshi kwa mdogo wake.
 
Wanaposema kizazi kiko karibu hawana maana ya maumbile ya kifizikia ya umbali wa mita au sentimeter.
ni kuwa wana urahisi, wanapata mimba kwa wepesi zaidi,
labda inawezekana mayai yao YOTE yako na afya, mirija yao yote safi, hivyo hakuna bahati nzuri au mbaya.

Wadada wengi siku hizi kutokana mambo mbalimbali utakuta ana mrija mmoja tu mzima, au mayai mengine yamechoka hivyo mimba ni za kuvizia kila msimu inabidi kubahatisha
 
Back
Top Bottom