uongo bila kumbukumbu=kuumbuka

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamaa mmoja alikua muongo(sound).. Siku moja akawa anawapigia masela wenzake story za jinsi alivyokua muwindaji wa swala.. Sasa story ikaenda mpaka wakafika sehemu jamaa amemlaza swala chini anataka kumchinja..... (msimuliaji akaitwa kdogo kwao)..alivyorudi akawauliza washkaji.. Ivi tumeishia wapi..!!? Jamaa wakamwambia ”tumeishia pale umemlaza chini...” jamaa akasema .."enheeee... Basi nikamvua nguo halafu nikaanza kumnyonya mtoto akaanza kulegea.. Ndio na mimi nikamaliza kabisa pale.. Demu alikua mkali kinyama...!!” machizi wakawa hoi kwa kucheka...
 
Inanikumbusha mama 1 alipiga simu kwenye kipindi cha watoto cha salamu (kwenye radio flan ya dini), akabadilisha sauti ikawa kama ya mtoto. Akaanza kutuma salaam. "Kwanza namtumia salam mama yangu akiwa hapahapa nyumbani, pili namtumia mwalimu wangu akiwa hapo **** primary skul, mwisho namtumia MUME WANGU MPENZI ANAITWA ADAM niko naye hapa"
 
hahahahaaaaa... Daaah mama aliumbuka kweli kweli... Kuna jamaa yangu mmoja pia alikua anatokea demu.. Akajitambulisha kwa demu kua anaitwa Brown... Akaniambia mzee usisahau ukinikuta na uyu demu uniite brown... Sasa mimi nikawakuta sku moja nikasahau bwana... Nikamuita mshkaji kwa jina lake... Funny nae akasahau kua alijitambulisha brown kwa demu.. Akaitika.. Hahahahaha... aritoine...
 
Last edited by a moderator:
dah hii moja ilitokea mpakani mwa tz na msumbiji kwa wale wenzetu wa pale ruvuma wale wa chamaki nchamga
enzi izo za nyerere wengi walizamia msumbiji raisi wa kule akamwita nyerere akachukue raia wake noma ilikuja awataki kurudi basi kama unavyomjua baba wa taifa ka suleiman akasema haina tabu akawapanga mstari mmoja akawaambia waseme sports wengi wakawa wanasema chipotis anawaingiza kwenye gari basi mmoja akajikaza akasema vizuri kidogo akamwambia we baki basi jamaa akajibu achante chana.
 
hahahahaaaaa... Daaah mama aliumbuka kweli kweli... Kuna jamaa yangu mmoja pia alikua anatokea demu.. Akajitambulisha kwa demu kua anaitwa Brown... Akaniambia mzee usisahau ukinikuta na uyu demu uniite brown... Sasa mimi nikawakuta sku moja nikasahau bwana... Nikamuita mshkaji kwa jina lake... Funny nae akasahau kua alijitambulisha brown kwa demu.. Akaitika.. Hahahahaha... aritoine...

Labda angejiita Blackie ndo angekumbuka..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom