Uonevu wa binadamu

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Ni uonevu usiopimika kwa waziri wa maliasili kumfukuza kazi mkurugenzi wa wanyamapori. Kwa nini asiwaachie wanyamapori wenyewe wamfukuze mkurugenzi wao kama hawamtaki.....?

Mi mwenyewe nashangaa!

Kwa hakiki kuishi kingi kuona mengi. Raisi ana appoint Mkurugenzi Waziri wake anamfukuza kujikosha. Wanyamapori wanatoroshwa Novemba na kesi iko mahakamani na wahisika wako nje kwa dhamana, bunge linachochea waziri anakurupuka March anamfukuza mtendaji wake. Matatizo ya msingi hayafukuzi Wakurugenzi, matatizo ya kumtengenezea mtu yanamdhalilisha mtendaji mzuri na anasimamishwa hiyo ndiyo Tanzania kama mchezo wa kuigiza wa kanumba

Ni uonevu usiopimika kwa waziri wa maliasili kumfukuza kazi mkurugenzi wa wanyamapori. Kwa nini asiwaachie wanyamapori wenyewe wamfukuze mkurugenzi wao kama hawamtaki.....?
hhaaaaa haaa dooh hii ya mwaka

Back
Top Bottom