Uonavyo: Kati ya KWAME NKRUMAH na J K NYERERE. Yupi anastahili heshima ya kisiasa ki mataifa?

Du kwa huu mwendo wetu wa sasa wa Tanzania hiyo miaka 200 ni michache sana kwa ndoto zako za kuisaidia Marekani kutimia. Labda miaka 1000 na wakati huo hawa wamarekani wawe wamesimama yaani hawafanyi juhudi zozote za kuendeleza taifa lako.
 
Shwari na Jasusi,

Asanteni kwa somo!!

Sijui ile kampeni ya TYL ya kuzuia michubuo ya akina dada zetu iliisha lini???? Duh................ Hii kitu ilinipa wakati mgumu kupata mke Tanzania.............. maana kila mahali nikuwa nakutana na mikorogo. Samahani kama kuna watu
nimewakwaza hapa!!

Campaign hiyo ilianza officially miezi ya mwisho, 1968, nadhani October, na iliendelea mpaka karibu mwaka wote, 1969.

Kulikuwa na vijana walioendelea kuwanyanyasa wasichana hata mwaka uliofuata, 1970, lakini kwa ujumla, walikuwa wametualia kuanzia mwaka huo. Nilikuwa natembelea sehemu nyingi za Dar es salaam, na kupanda basi, nilipokuwa mwanafunzi nyakati hizo na sikuona mengi mwaka 1970 kama yale niliyoshuhudia 1969.

Lakini bado kulikuwa na remnants of cultural vigilantism kwa sababu kulikuwa na vijana ambao bado hawakuridhika kwamba wametimiza lengo lao.
 
Kitabu hiki kwenye hii linki kimejaribu kutafiti hiyo historia mliyoipitia: Welcome To Duke University Press
 
Ndio mnavyodanganyana? Na Nyerere alivyotengana na mama Maria, mnasema Mzee alikuwa busy na mapambano ya uhuru. Viongozi wenu walikuwa na matatizo tu.

Angalia rejea kwenye hiyo mada uone jinsi majasusi wa Uingereza na Marekani walivyotishika kutokana na hiyo ndoa ya Nkrumah na ndugu wa Nasser!

Kuhusu Mwalimu namuachia Mungu.
 
Back
Top Bottom