UOA yamtimua mhadhiri mwanasiasa

mkuu kipo kiliwakilisha vizuri sana mashindano ya zain challenge mwaka juzi,back to the topic huyu mhadhiri anafukuzwa kwa sababu kajihusisha na siasa au kwa sababu hakidhi viwango?
hapa kosa kuwa mwanaCDM angekuwa CCM angeendelea kama waadhiri wenzake ambao ni walezi wa matawi ya wanafunzi chuoni hapo , uhuru wa kweli bado sana tz
 
bora wangewabakiza kina Dr Mkumbo kwenye kazi zao za sasa kwa kua wangembana na majukumu mengi ila wakiwafukuza mtaani watazalisha vichwa balaaa...
 
Mshaanza tena, hata kama mtu anakosea ndiyo hatuwa zisichukuliwe?
Igogo hajatenda/hajaenda kinyume na taratibu na sheria za ajira yeye ni manachama wala si kiongozi anauhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote ili mradi asiwe kiongozi wala asifanye siasa eneo la kazi msomi huyo amekiri anayaelewa hayo yote nahajakiuka hapa kuna shinikizo na sisi em
 
Mwishoni tutakuja kusikia ASKOFU au SHEIKH amefukuzwa kanisani na Msikitini kwakuwa tu yeye ni chadema!
 
Da! Weee ni mtanzania kweli? Ni miongoni mwa Vyuo bora Tanzania kwa sasa!!

Ni bora kivipi?naomba kupata ufafanuzi. Huwa chuo kinakuwa bora kutokana na research output, competent graduates na useful advice(consultancy activities). Naomba utuambie hicho chuo kimefanya yapi na nani mfano mzuri wa graduate wa hapo.
 
Back
Top Bottom