Unywaji wa pombe

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,831
22,938
Wadau naomba msaada wa hili,hivi ni unywaji gani wa pombe unakubalika kiafya kwa siku(Kwa kinywji cha Beer)?mfano bia moja,mbili,tatu.....Na ipi ni bora zaidi moto au baridi!
 
Kila mtu ana kiasi chake (idadi ya bia)mkuu, wengine hata glasi moja huwalewesha.
Drink Responsibly!!!
 
Toa sababu:A S-rap::A S-rap:

Haina faida mwilini, inachosha mwili, inaongeza sumu mwilini, inaleta ubinafsi kwenye familia (unakunywa pombe wenyewe bila kuwashirikisha familia yako), inaharibu bajet ya familia, ni motisha au chanzo kikubwa au cha uasherati na uzinzi, chanzo cha kuvuruga ndoa, etc.
,
Kunywa maji ongeza uhai wako (unapokunywa maji unaongeza oxjen mwilini (H2O)! Oxjen ndiyo tunavuta na inaongeza uhai, usipokua na O2 mwilini c unajua madhara yake? Unapokua na O2 ya kutosha mwilini kuna faida nyingi
 
Nashukuru kwa ushauri wako,ila nilichotaka kujua hasa ni kiwango gani ukinywa unaweza kuwa safe ki-afya na swala la kuharibu budget nadhani inahusiana na kipato cha mtumiaji ndio maana pia nikataka kujua kiwango ili niweze kujiwekea kiwango ambacho hakita-interfere financial position yangu.
 
Mnaposema "bia" mna maanaya bia gani? bia tofauti zina alcohol percentage tofauti.

Na mie nisiyekunywa bia, ninayekamata Scotch over the rocks/ Gin and tonic je?

Halafu watu tofauti wana alcohol tolerance tofauti, kuna cousin huyo akipata Heineken ndogo mbili tu (overregulated and watered down American Heineken at that) usingizi, wakati wengine tunapima 80 proof Grants / Johnny oe even worse, Puerto Rican Rum kwa robo lita kila siku bila hata ya kupata zing.

Kwa hiyo kabla ya ku apply vipimo vya kichwapanzi kwa Mnyamwezi wa mzigo, inabidi uje na kipimo cha kujua kwa nini mbongo nyingine zinakata maji bila kutikisika na nyingine zikisikia harufu tu zishalala.
 
Kunywa bia uwezavyo,ila sikushauri JackDaniels,inaweza ikaku brain concussion!!
 
Haina faida mwilini, inachosha mwili, inaongeza sumu mwilini, inaleta ubinafsi kwenye familia (unakunywa pombe wenyewe bila kuwashirikisha familia yako), inaharibu bajet ya familia, ni motisha au chanzo kikubwa au cha uasherati na uzinzi, chanzo cha kuvuruga ndoa, etc.
,
Kunywa maji ongeza uhai wako (unapokunywa maji unaongeza oxjen mwilini (H2O)! Oxjen ndiyo tunavuta na inaongeza uhai, usipokua na O2 mwilini c unajua madhara yake? Unapokua na O2 ya kutosha mwilini kuna faida nyingi

Kuongezea hapo,

Pombe imekatazwa kwenye Biblia.
Soma hapa:-

01 Petro 04:01-05 inasema hivi:-

1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi.
2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani.
3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali;
4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana.
5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom