Unyama wa Polisi wa Tanzania

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
304751_176617969141066_1657645833_n.jpg

424058_185614574883104_2064431591_n.jpg
 
Ni wavuta bangi ndiyo wamejaa ndani ya jeshi letu la polisi!! Hakuna binadamu wa kawaida anayeweza kufanya mambo ya ajabu kiasi hicho!! Sijui kama jeshi letu linavitengo vya nidhamu vilivyo hai!!
 
Pamoja na upungufu wa ajira - ikitokea kazi ya kujiunga na jeshi hili kwa sasa naona nitawaza mara mbili kabla ya kuikubali. Maana inaelekea wanafundishwa kuua.
 
Pamoja na upungufu wa ajira - ikitokea kazi ya kujiunga na jeshi hili kwa sasa naona nitawaza mara mbili kabla ya kuikubali. Maana inaelekea wanafundishwa kuua.

hapo kuua ni kawaida ya kila mwanajeshi na je unaua mazingira yepi hapo ndio shughuli sasa inapoanzia..RIP eddy clux
 
Uelewa wa mambo na utu uko katika malezi bora ambayo ni pamoja na elimu bora. Jeshi hili ndo linaongoza kwa kughushi vyeti au kutumia vyeti vya ndugu zao. so, ni kufumua upya kabisa. Pia kuwa na viongozi wa jeshi hili wanaotokana na ueledi wa taaluma pana na sio taratibu za jeshi hili tu.
 
Hivi kosa la David Mwangosi ni nini hasa? Maana alikuwa yupo kikazi, kutokana na habari jana ITV mwandishi mwenzie anasema alimwona David akipigwa na askari kama 8, then wakaona wammalizie na risasi, amefanyiwa unyama kama vile ni gaidi mkubwa wa hii nchi, wakati kuna mafisadi ambao wameiibia hii nchi a lot of millions na hawajaguswa hata na kirungu cha polisi, lakini mpiga picha asiye na hatia analipuliwa bila hatia! Ee Mungu wewe umeona kuliko sisi tulioona kwa kupitia vyombo vya habari, naomba hii damu isinyamaze,uwalipe sawa sawa na hukumu zako. Inauma sana sana!
 
Nashindwa kuamini kama huyu jamaa ana cheo cha Inspector,na kama ni kweli yeye ni Inspector uinspector huo aliupatapata vipi..??Kuna haja kubwa sana ya kubadili mfumo wa Jeshi la polisi na ikiwezekana liundwe upya kabisaaaa....
sio jeshi la polisi tu nchi yote yabidi iundwe upya tu hakuna lililo sawa humu nchini lakini ole wao wananchi wakivizoea hivi vifo hii nchi ikiharibiwa hii hakuna atakayeweza kuituliza kirahisi we waache tu kaka.
 
Mkuu huyo uliyem-label RPC sidhani kama ni sahihi maana inasemekana huyu askari ndiye ambaye alikuwa anajaribu kuwasihi wenzie wasiendelee kumpiga huyu mwandishi na yeye pia alijeruhiwa ktk zoezi hilo. Ninasema sio RPC maana askari anayeripotiwa kujeruhiwa ni mwingine na sio RPC. Mnaweza kunisahihisha kama ninakosea
 
HAPO HAKUNA CHA KUZUIA NA YEYE NI MUUAJI TU TENA jAMBAZI KUBWA SANA LA MWANDISHI WA HABARI.....AISEE HALAFU UTAKUTA ETI HAO WAMEOKOKA SHIIIIIT PUMBAVU ZENU....AISEE KUMMHJGHHAK BASI TU HADI MOYO UNALIA KWA UJINGA WA POLISI WETU
 
Mkuu huyo uliyem-label RPC sidhani kama ni sahihi maana inasemekana huyu askari ndiye ambaye alikuwa anajaribu kuwasihi wenzie wasiendelee kumpiga huyu mwandishi na yeye pia alijeruhiwa ktk zoezi hilo. Ninasema sio RPC maana askari anayeripotiwa kujeruhiwa ni mwingine na sio RPC. Mnaweza kunisahihisha kama ninakosea

Ni kweli kabisa coz wanavyosema RPC Alikua kwenye gari na walipo mfuata kua anaepigwa si mwanachadema bali mwandish akapandisha vioo vya gari
 
Mke wa Mpiganaji akilia Kaburini
644306_364011057007561_500849989_n.jpg

KUTOKA RUNGWE;MKE WA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI,AKIGALAGALA JUU YA KABURI LA MUMEWE MARA BAADA YA KUZIKWA.
 
Back
Top Bottom