Unyama wa namna hii unafaa kukemewa!

If Al-Shaabab lands a hand in any of those GSUs i swear they will slaughter the victim using a razorblades just to demonstrate how deadly can payback be!
 
Wajeda bwana, akili zao wanazijua wenyewe wanakoziwekaga wakiamua kuingia kazini. Huwa ni half wanyama hawa jamaa.
 
ONYO: Kama una moyo hafifu usifungue video tafadhali.




Hi ni kenya Je hapo kwetu Tanzania jeshi la Polisi hawafanyi kama hivyo? Hizi nchi za afrika hazina haki ya kibinadamu huu ni ukweli unyama sana hawa wanajeshi wa Mwai Kibaki ni wanyama sana Mwenyeezi mungu atawalaani sana kwa huo uonevu wao inshallah.
 
Last edited by a moderator:
Duh, yaani inatia huruma kweli. Hakuna hata mtu moja anamtetea huyu kijana. Aisee, hii ni hatari kweli.
 
Kwa Kenya mbona hii ni kawaida.Polisi wa Kenya ni majambazi kuliko majambazi. They are but terroriststerrorizing common mwananchi everywhere in Kenya. Shame on them. Heri alshabaab ingekuwa inaondoka majambazi kama haya.
 
Am kenyan and this is so sad, we have a constitution that has one of the most progressive chapter on human rights.
I think the problem many african countries are facing is not due to bad constitutions but lack of constitutionalism.

But this unit of police(GSU) is known for its brutality and we tend to think its the right mode of operation

:embarassed2:
 
This is indeed barbaric. These cops should be fired. They are a disgrace to their uniforms.
 
mtu mmoja kushambuliwa na polisi wengi namna hiyo! huku ni kukoswa kazi ya kufanya. Shame on you GSU whatever, Shame also on Kibaki sababu ndio jemedari wao. wauaji wakubwa.
 
Sijavurahishwa hata kidogo na kitendo walichokifanya askari hawa...huku ni kukosa utu.

Lakini pia nimeshangazwa na ujasiri wa kijana huyu kupokea kipigo hicho tena kipigo kikilenga sehemu nyeti ajabu wakati anahojiwa anaonekana kama askari hao walikuwa wanamfanyia 'masaji'.
 
dogo mwenyewe kakomaa kama nini mi nilitegemea kichapo chote hicho angezimia lakini wapi! ila kwa kweli sio sawa ingawa kijana ameonekana kuchukulia poa tu.
 
Officers sent home over torture

Commissioner of Police Mathew Iteere has ordered the suspension of General Service Unit officers who were captured on video torturing a man.

This comes as investigations into the 2009 incident, which Mr Iteere described as an embarrassing, were stepped up.

The police boss further said that initial investigations had already identified some of the officers involved in the incident, and that one of them was dismissed from service in 2011 for gross indiscipline.

The video capturing the incident - which occurred at a GSU camp in Kerita, Trans Nzoia County - was aired on NTV on Thursday.

In the video, more than 10 officers at a camp, some in civilian clothes, are seen torturing a young man in a yellow T-shirt by kicking, whipping and clobbering him.

At some point, two officers remove his pair of trousers and firmly hold him on the ground while others whip him.

Mr Iteere said the officers in question had just returned to the camp with the victim, whom they had arrested following a shootout with armed bandits after some of his accomplices escaped.

"This incident has embarrassed the Government of Kenya, the Kenya Police and the entire Kenyan public and we condemn it in the strongest terms possible," he said, adding that the investigations had been taken over by the Criminal Investigation Department director, who is expected to forward the file to the Director of Public Prosecutions within seven days.

"The dictates of human rights as provided for in our Constitution become a natural instinct to all our officers whether on or off duty.

"I assure Kenyans that the officers will have their day in court and the victim will get justice," said Mr Iteere.

Human rights activist Omar Hassan described the incident as the tip of the iceberg.

"I doubt whether any action can be taken as that was the same promise the police gave during the Langata road shootings," he added.

Officers sent home over torture *- News*|nation.co.ke
 
Ab-Tz, hii ndio "Modus Operandi" ya GSU, ebu jaribu kutafuta kwenye archive inayo onyesha/simulia walivyo husika na kifo cha Joshua Mwangi Kariuki kwenye mwanzo wa miaka ya sabini.

Hawajabadirika chochote.
 
Mwengine kauwawa na polisi hapa:



 
Last edited by a moderator:
Kijana aliyekula kichapo kapatikana na anaeleza hali yake kwa sasa:



 
Last edited by a moderator:
Thats just sick, couln't get myself to watch the whole clip.. and to imagine they have sworn to protect Kenyans.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom