Unyama Wa Mzungu. Hii inatisha

Sijui wewe unabisha nini sasa,au ndo mmojawapo?pumbafuu kweli,tatizo sio ngoma hapa,kalale na mbwa uone mtihani wake,yaani mwenzenu anawapa onyo halafu wewe unatuletea tumbo kubwa.Inaudhi .

nyoo tapika basi,hata wenyewe wanawashangaa kuua albino ili kupata utajiri....kuna unyama zaidi ya huo?
 
wazungu walileta biblia, dini ya kweli...amen!

Story ya Mgodini Geita ni ya miaka kama 5 tu iliyopita, sio ya enzi za ukoloni wala haihusiani na Biblia wala Qurani wala dini ya uongo ama ya ukweli. Kila aina ya jamii ya watu wapo watu waliopitiliza kukosa ubinadamu, ila wazungu wamezidi. Anyway, na Waafrika nao, kuua albino si yale yale tu? Ila wazungu zaidi.
 
Generally,wazungu wanatuona sie waafrica ni binadamu Third party!!Hao wadada wanaopenda wazungu dah wanaroho ngumu maana mhh ile ngoz ya mzungu na vinyweleo !!!
 
a very sad touchy story! we have to be very careful on how we enteract with strangers!
 
Generally,wazungu wanatuona sie waafrica ni binadamu Third party!!Hao wadada wanaopenda wazungu dah wanaroho ngumu maana mhh ile ngoz ya mzungu na vinyweleo !!!

wazungu watawafanya wadada zetu wamuone yesu. nakufa na mweuzi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom