Unyama gani huu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Mwili wa mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, anayekisiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 40 hadi 45, umekutwa ukiwa umetupwa katika bonde la Mkwajuni lililoko Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwili huo ambao uliogunduliwa na watu waliokuwa wakikata majani ya kulishia mifugo, ulikuwa umeanza kuharibika kiasi cha kutoa harufu kali. Inakadiriwa kuwa huenda mwili huo ulitupwa hapo siku tatu au nne zilizopita.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuuangalia mwili huo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Picha ikiuonesha mwili wa mtu huyo ukiwa umeharibika vibaya. Taarifa zilizoelezwa baadae zinasema kuwa mwili ulizikwa eneo la tukio kutokana na kuwa umeharibika sana. Eneo hilo ni miongoni mwa maeneo hatari ya jiji la Dar es salaam kupita nyakati za usiku na hata kuharibikiwa gari usiku katika eneo hilo ni hatari, kwani kuna maficho ya wahalifu hatari.

</td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom