Unyakuo wa kanisa

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Waungwana bwana Yesu asifiwe! Je kuna yeyote mwenye taarifa zaidi kuhusiana na unyakuo wa kanisa kuwa umekaribia na yule mpinga kristo anakaribia kuitawala dunia,naomba mnijuze kuhusiana na hili wakuu.
 
Kosa lishafanyika tugange yajayo so nahitaji msaada wenu sasa kama kuna mwenye ufahamu.
 
utakapo expire, utamuuliza Mungu.
"Lakini hakuna mtu ajuaye siku au saa hiyo itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye. Mark 13:32
Alafu uwe makini muisraeli asiwe anakutafuta, ndio unaanza kuuliza maswali kama haya
 
Waungwana bwana Yesu asifiwe! Je kuna yeyote mwenye taarifa zaidi kuhusiana na unyakuo wa kanisa kuwa umekaribia na yule mpinga kristo anakaribia kuitawala dunia,naomba mnijuze kuhusiana na hili wakuu.

ili kuweza kuelewa kuhusu nyakati za mwisho inakuhitaji kusoma na kuelewa vizuri vitabu viwili. Danieli anzia mlango wa 7 na ufunuo yote. Ukishasoma hivi vitabu viwili soma pia soma mahubiri ya Yesu (mathayo 16:1-4, 23:3--) ni maelezo marefu ambayo yahtaji si muda tu bali na utulivu ulioambatana na usikivu wa Roho Matakatifu. Roho wa Mungu awe nawe kukufundisha kweli yote. Nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru.
 
Masuala ya mwisho wa dunia yamepotoshwa sana na tafsiri hafifu za watu wasiyoijua biblia vizuri.
Hakuna concrete evidence ya kuwa Mungu atanyakua kanisa.
Na kama ni hivyo, kuna uwezekano pia kuwa hilo kanisa lilikwisha kunyakuliwa.
Halafu suala la Mpinga Kristo pia ni tata. Utabiri huu pia unaonesha kuwa ni tukio lililopita tangu enzi za Roma na Kaizari.
Madhehebu ya Pentecostal hupenda sana kutilia chumvi suala hili.
Namba 666 huwezi kununua wala kuuza bila hiyo. Ndio maana huu uzi uko kwenye jukwaa la Biashara LOL!
 
Kuna njia nyingi za kufundisha; njia mojawapo ni kuuliza maswali kwanza. Mkuu Chimbuvu napenda kujua kama Mpinga Kristo (Anti-Christ) unamfahamu. Mpinga Kristo ni nani?
 
hakuna ajuaye siku wala saa ya kuja kwake Kristo.lakini tegeneza maisha na uwe tayari kwa siku ya Bwana
 
Masuala ya mwisho wa dunia yamepotoshwa sana na tafsiri hafifu za watu wasiyoijua biblia vizuri.
Hakuna concrete evidence ya kuwa Mungu atanyakua kanisa.
Na kama ni hivyo, kuna uwezekano pia kuwa hilo kanisa lilikwisha kunyakuliwa.
Halafu suala la Mpinga Kristo pia ni tata. Utabiri huu pia unaonesha kuwa ni tukio lililopita tangu enzi za Roma na Kaizari.
Madhehebu ya Pentecostal hupenda sana kutilia chumvi suala hili.
Namba 666 huwezi kununua wala kuuza bila hiyo. Ndio maana huu uzi uko kwenye jukwaa la Biashara LOL!

Mpinga Kristo ni nani??? Oh... ni yule asiyemtambua Mwana wala Baba.... soma nyaraka za mtume Yohana!!! ha ha ha ha mpinga kristo anakaribia kuitawala dunia??? tayari ana bomu lake la nyuklia la kuifagilia mbali Israel na Marekani, eh eh eheeeee...... biblia kweli haiongopi lol!!
 
Kuna njia nyingi za kufundisha; njia mojawapo ni kuuliza maswali kwanza. Mkuu Chimbuvu napenda kujua kama Mpinga Kristo (Anti-Christ) unamfahamu. Mpinga Kristo ni nani?

mkuu osaka,mpinga kristo ni roho inayompinga kristo kuwa ni mwana wa Mungu
 
Hili jukwaa la biashara linaelekea kubaya.

nina maana hiyo najua hapa ni jukwaa la biashara,but kuna kitu katika hiyo issue kitaingilia ktk biashara,mfano kitabu cha ufunuo wa yohana 6;5-6,kinatabiri mfumuko wa bei za vyakula na ndio tunachokiona sa hv,waweza refer ktk gazeti la the east african la august 22-28,2011 ktk ukurasa wa 24 likielezea global food crisis,,sasa na ukivisit web prophecyupdate.com utakutana na hali halisi inayoendelea,suala la msingi ukikubaliana nami kuiweka hii mada hapa tunaweza anza jadili kuhusiana na availability na biashara ya chakula ktk hizi nyakati.asante mkuu
 
ili kuweza kuelewa kuhusu nyakati za mwisho inakuhitaji kusoma na kuelewa vizuri vitabu viwili. Danieli anzia mlango wa 7 na ufunuo yote. Ukishasoma hivi vitabu viwili soma pia soma mahubiri ya Yesu (mathayo 16:1-4, 23:3--) ni maelezo marefu ambayo yahtaji si muda tu bali na utulivu ulioambatana na usikivu wa Roho Matakatifu. Roho wa Mungu awe nawe kukufundisha kweli yote. Nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru.

amen mkuu voice of wisdom,kwanza namba yangu ni 0767266814,still nipo mza,sasa nikisoma mathayo 24;1-,inasema matukio ya nyakati za mwisho,ambapo matetemeko ya ardhi,tetesi za vita(iran na israel,tanzania na malawi) still inasema ule mwisho bado kwa kuwa taifa litainuka kwenda pigana na taifa,ufalme kwa ufalme xo kama ndio tupo huku tuexpect kuna vita kuu itayotokea ama unaelewa vp hapo,na ktk daniel miguu ya sanamu ilikuwa imechanganyika chuma na udongo,na jiwe likaja likavunjavunja ile sanamu so hii kingdom ya sa hv europe ndo ya mwisho ama vp mkuu.
 
Please prove me that JUKWAA LA DINI= JUKWAA LA UCHUMI

mkuu bujibuji nashukuru kwa swali lako la msingi na lenye maana,lakini nipo hapa kwa ajili ya kupata ufahamu zaidi kuhusiana na hicho nilichokiandika unyakuo wa kanisa
 
Napita tu nawatafuta wafuasi wa Chadema niwapige

nashukuru mkuu sijakoma,imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako,upendo ndio amri kuu,sasa nawewe kupita hapa maana yake una mchango mkubwa katika hili suala,tunahitaji mchango wako weka virungu chini.
 
Kweli masuala ya dini siku hizi yamekuwa BIASHARA na UCHUMI? Mods, msaidieni huyu bwana!!!!!
 
Back
Top Bottom