Ununuzi wa magari Toka japan

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Kutokana na milipuko ya vinu vya nyuklia huko japan,nashauri kuwa waangalifu juu ununuzi wa magari mitumba hapo baadae kwani kuna uwezekano kuwa yakawa yame ingiwa na mionzi iliyovuja ya nyuklia hivyo kutuletea madhara tukiyatumia!
 
Brother/sister, unajua ulichoandika?
Mbona huwa hayaji ni mionzi ya jua baada ya kupigwa jua huko Japan?
 
Dont send money now until later......all yard in Japan might have been affected as they are close to the sea
 
Kwanza usome tabia ya mionzi ya jua na hii itokanayo na madini ya uranium ndio uje ujadili hapa!
 
Dont send money now until later......all yard in Japan might have been affected as they are close to the sea

All yard, not true. Japanese vehicle and autorec opened their doors since yesterday!! Acha kupotosha umma!
 
Back
Top Bottom