ununuzi wa magari online... tusaidiane hapa

simbamkuu00

New Member
Feb 26, 2012
4
0
Habari wana Jamii, ninapenda
kufahamu je ni kampuni gani
inayoaninika kwa kuagiza magari.
Nimejaribu kuangalia trade car view
nikahisi ni the best kwa sababu wana
huduma ya paytrade.. kwa yoyote
anayeelewa kuhusu haya mambo
tusaidiane maana nilishajaribu
kunegotiate online na nikatumiwa
Proforma Invoice lakini nikaogopa
kuendelea. pia ningependa kufahamu
gharama na procedure za utoaji
bandarini. na je ni kweli kuna
punguzo la kodi kwa civil servants?
tusaidiane hapo wanajamii.
 
Kwa upande wa Paytrade,usiwe na hofu ni safe!!!Kuhusu bandarini,kodi zinategema na gari unaloagiza,gharama yake etc!!
 
Agiza kwenye kampuni hizi AUTOREC JAPAN au NIKKYO CARS JAPAN. Wapo safi sana,ni waaminifu sana.
Bandarini ukitaka kukadiria nenda kwenye tovuti inaitwa www.gariyangu.com
hapo utakuta kikadirio utaingiza aina ya gari,mwaka iliotengenezwa na ujazo wa injini(cc).
Kama una swali ruksa kuuliza.
 
autorec ndio kila kitu kwakweli! kuhusu msaada wa kodi kwa civil servant unatakiwa kuwa scale kuanzia tgs d, procedures nenda mtandao huo hapo juu wa gariyangu.com
 
tradecarview tumia paytrade ni salama kabisa
kuhusu gharama zautoaji ingia
gariyangu.com
 
Habari wana Jamii, ninapenda
kufahamu je ni kampuni gani
inayoaninika kwa kuagiza magari.
Nimejaribu kuangalia trade car view
nikahisi ni the best kwa sababu wana
huduma ya paytrade.. kwa yoyote
anayeelewa kuhusu haya mambo
tusaidiane maana nilishajaribu
kunegotiate online na nikatumiwa
Proforma Invoice lakini nikaogopa
kuendelea. pia ningependa kufahamu
gharama na procedure za utoaji
bandarini. na je ni kweli kuna
punguzo la kodi kwa civil servants?
tusaidiane hapo wanajamii.

1. Tahadhari kwa kulipa kupitia mtandaoni bila kuwa na uhakika na kampuni unakonunua magari maana wengi wameliwa.
2. Umefanya vizuri kuuliza kwani kuna wazoefu hapa, na nakuhakikishia car trade view ni nzuri ila inategemea unanunua kwa nani.
3. Ninayo mtanzania ambaye ni best na jamaa yangu ambaye yuko Japana anafanya kazi kwenye moja ya hayo makampuni, kama uko serious nipm nikuunganishe mtaongea hata kwa kiswahili hata kiluga, he is best ever na atakusaidia kupata gari nzuri uipenda kama kaka yako. Thanks,
 
Achana na online buying. Watu wengi wamelizwa na mtindo huu. Si wote waaminifu. Heri uagize kupitia kwa wakala ulipe bei ya juu kidogo kuliko upoteze savings zako za muda mrefu au mkopo wako wote na uishie kulipa deni tu na gari usiletewe. Namfahamu mtu ambaye alitumia mtindo huo na alipolipa tu hiyo kampuni ikajideclare kuwa bankrupt. Mpaka sasa hajapata hela yake na kampuni ikidai bado imefilisika.
Habari wana Jamii, ninapenda
kufahamu je ni kampuni gani
inayoaninika kwa kuagiza magari.
Nimejaribu kuangalia trade car view
nikahisi ni the best kwa sababu wana
huduma ya paytrade.. kwa yoyote
anayeelewa kuhusu haya mambo
tusaidiane maana nilishajaribu
kunegotiate online na nikatumiwa
Proforma Invoice lakini nikaogopa
kuendelea. pia ningependa kufahamu
gharama na procedure za utoaji
bandarini. na je ni kweli kuna
punguzo la kodi kwa civil servants?
tusaidiane hapo wanajamii.
 
mi nilishaagiza kutoka japanesevehicles.co.jp, na baadae kutoka beforward.jp...magari yalifika salama,nilitafuta agents wa kunisaidia kazi ya kuclear bandarini. tradecarview wana magari mengi,lakini to me it looks like different sellers put their cars in the website,wengine wakiwa matapeli,so order with caution from tradecarview,,,and use paytrade...goodluck.
 
Habari wana Jamii, ninapenda
kufahamu je ni kampuni gani
inayoaninika kwa kuagiza magari.
Nimejaribu kuangalia trade car view
nikahisi ni the best kwa sababu wana
huduma ya paytrade.. kwa yoyote
anayeelewa kuhusu haya mambo
tusaidiane maana nilishajaribu
kunegotiate online na nikatumiwa
Proforma Invoice lakini nikaogopa
kuendelea. pia ningependa kufahamu
gharama na procedure za utoaji
bandarini. na je ni kweli kuna
punguzo la kodi kwa civil servants?
tusaidiane hapo wanajamii.

Tahadhari sana ndugu na tradecarview, kuna jamaa yangu mmoja alikwenda japan karudi muda si mrefu, sasa nikataka kumuagiza gari kupitia kwa hawa jamaa. akanambia hawa jamaa sio waaminifu. unaweza kuchagua gari unayoitaka lakini ukatumiwa nyengine. Kwa hiyo jihadhari
 
Back
Top Bottom