Untill you make peace with who you are,you will never be satisfied with what you have!!

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
teeth-main_full221.jpg Sometimes we are so busy searching for things that are
outside of ourselves, that we don't realize that what we really need is already in our possession! We dream of this distant place where all
our dreams come true, not knowing that if we just appreciated all the abundance we already have, that life would reveal more. Think of life
as an all you can eat buffet!

The only way that you can get more food is to finish what you already have on your plate! Why would the
universe give you more if you don't know what to do with what you have already? Be content!! Appreciate all that you currently have and
maximize that to its fullest potential!! Doing this will not only bring you immediate happiness, but will also bring you future
abundance!

Life is what you make it! Make it great right now because you already have it all!! The World is Yours, and Nothing Can Stop
You!!!
ALL HIPHOP.COM
 
i beg to differ,na differ kwa sababu kiu ya maendeleo,kiu ya kupata ndo injini inayosukuma mbele maendeleo ya dunia hii.Ukibweteka na kila mtu akabweteka na kuridhika na alichonacho wallah dunia haitasonga mbele na kila kitu kitadumaa.Kuna mtu aliwahi kusema 'kazana utafute pesa as if hutakaa ufe!'
 
Bishanga hujamwelewa; si maana yake tuache kutafuta.................; tujitafiti wenyewe kwanza kwani huenda kati yale tunayoyatafuta yanakuwa si matakwa ya kweli ya nafsi na hapa swala si mali ama vitu pekee.............................endeleeni kujadili!
 
sasa Mkuu unatofautishaje matakwa ya 'kweli' ya nafsi na yasiyo ya kweli?Ninachofahamu mimi utashi wako wa leo sio wa kesho,kila kukicha binadamu tunabadilika,nothing is permanent katika maumbile including hicho kinachoitwa mahitaji ya nafsi,no wonder we will keep on searching hadi tunaingia kaburini,searching for what? hilo ndo swali ambalo toka karne na karne inasumbua wanafalsafa.To be or not to be,that is the question.
 
Bishanga hujamwelewa; si maana yake tuache kutafuta.................; tujitafiti wenyewe kwanza kwani huenda kati yale tunayoyatafuta yanakuwa si matakwa ya kweli ya nafsi na hapa swala si mali ama vitu pekee.............................endeleeni kujadili!

Kweli mkuu, kuna watu humu humu JF, mpaka leo hii hawajijui kuwa wao ni nani! Wewe soma thread zao tu, utawajua........... au niwataje!?.......................LOL. Ngoja ninyamaze, nisije pigwa BAN!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom