Unsubscribe! [TACAIDS]

kande kavu

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
234
86
Haya haya wanajamii.

Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo!

Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?
 
la kuvunda halina ubani na sikio la kufa halisikii dawa....acha wamegane tu kwa raha zao
 
Haya haya wanajamii.

Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo!

Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo networks kwa salama yetu?

Kwa kipindi hichi labda uiache nyumani tu!
 
mh,mtandao huo umekuwa kwa kas kushinda mitandao yote nchini! Tanzagiza bila ukimwi haiwezekan. . .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom