Unlock zte&huawei mobile phone.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Wakuu ninaamini mnajua mengi zaidi ya ku unlock modem za zte na huawei.je na simu za zte na huawei nazo kuna ujanja? Au mpaka flash tools.KARIBUNI
 
Nahis ya wezekana tena ni kwa codes, master reset codes,unlock codes ama formating codes na inasemekana ni bora zaidi kuformat kwa code kuliko ku flash device yako. Nenda Sicaone then nenda kwenye service then chini kabisa utaona sehemu imeandikwa "unlock me" huko kuna codes za simu nyingi na maelekezo ktokana na baadhi ya matatizo ya simu mbali mbali. PamojaBlög Sicä | Welcome to Blog Sica!!!
 
Thanx 100 tyme bro.nimechungulia hiyo link kwa haraka haraka hata mimi nimehisi inawezekana.kwa sasa natumia simu ila nitakapo tumia pc nitakujuza zaidi.
 
Mimi unlocked yangu Huawei Modem za mkononi, na za mkononi Zte urahisi kwa kutumia code Kufungua, mimi si kutumika kufungua flash programu ya kufungua it.You wanaweza kupata kanuni kufungua kutoka kwenye tovuti Unlocking4u.com na Unlock ni kutoka lock Network, unaweza kufungua kwa kupata kanuni za mkononi Huawei, modems, Zte za mkononi huko na kufungua hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom