unlock huawei U8150,u8160 freee kwa watu 10 wa mwanzo

Huawei U8150, U8160 unlocker freeee kwa watu kumi wa mwanzo. pm yangu imejaa maombi ya huawei unlocking nikaona nitoe free software kwa wale kumi wa mwanzo hapa. uki-pm sitajibu

Du ! sikuona hilo neno , make an exception for the first one plz ...
 
user name yangu ni -
yaani (-), au nimechelewa kati ya wale kumi?
 
brother nadhani nimo ndani ya 10 people, nisaidie na mimi.
mods please naomba ufute kiyo attchment ya hii software maana users hawapati the right data ninayoitaka. so please delete na kesho nitaweka ambayo nitaifanyia editing.
kupata ID nilitumia cryptography ya motherboad Id na SHA1. nahitaji kufanya some changes na nitaiweka tena hapa.
 
dah! haka ni kamtihani kaka, you mean out on network out of offer? kesho itabidi nikeshe humu sasa.
 
mods please naomba ufute kiyo attchment ya hii software maana users hawapati the right data ninayoitaka. so please delete na kesho nitaweka ambayo nitaifanyia editing.
kupata ID nilitumia cryptography ya motherboad Id na SHA1. nahitaji kufanya some changes na nitaiweka tena hapa.
CalvinPower

Njia rahisi ya kuwasilisha ombi lako kwa Mods ni kubonyeza
report-40b.png
au Kutuma Private Message kwa Mod yeyote.

BTW ombi lako limetekelezwa
 
Last edited by a moderator:
CalvinPower

Njia rahisi ya kuwasilisha ombi lako kwa Mods ni kubonyeza
report-40b.png
au Kutuma Private Message kwa Mod yeyote.

BTW ombi lako limetekelezwa

nashukuru kwa kunielewesha lakini
bado ombi langu halijatekelezwa coz i can still download the attachment. remove the attachment kama inawezekana mkuu.
 
kaka kama nilivyokuomba naona niko kwenye hao kumi naomba msaada na maelekezo
 
mods please naomba ufute kiyo attchment ya hii software maana users hawapati the right data ninayoitaka. so please delete na kesho nitaweka ambayo nitaifanyia editing.
kupata ID nilitumia cryptography ya motherboad Id na SHA1. nahitaji kufanya some changes na nitaiweka tena hapa.
ukianzisha thread mpya , ,plz tupia neno ktk humu , iwe kama notification kwetu tuliosubscribe katika hiii thread
 
Back
Top Bottom