Univesal box

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Natafuta universal box.mwenye nayo aniambie anauza shiling ngapi.Nimeweka hapa hii mada sababu wataalam wengi wenye kujua haya mambo wanapita hapa.
 
Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge.
 
Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge.
mimi pia nahitaj hiyo kitu
mpya itakuwa shiling ngapi?kama kuna mtu anajua bei ya used na mpya anijuze ili niweze kutambua ipi itanifaa.
 
Back
Top Bottom