University students na wapenzi wa matumizi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Eti wanafunzi wa vyuo vikuu wana wapenzi wa aina mbili:
1. KISERENGETI BOY- WA KUTOKA NAYE
2. JIBABA- WA MATUMIZI NA KUTUMIA HELA YA JIBABA KUMLISHA KISERENGETI BOY

Jibaba Ukijua hilo utafanyaje utamuacha au..................au serengeti boy ukijua utafanya nini kuwa mpenzi wako ana Jibaba
 
Mapenzi hapa Chuo ni pasua kichwaa; labda muwe darasa/course tofauti; kidogo kidume utapumua

>Ukienda na demu cafeteria kidume unalipia msosi[kumbuka ukizidisha 7,500/day, na huna kipato kingine, inakula kwako: mwezi dumee

>madesa: bebii nichukulie basi copy ya Land Act then ntakulipaaa[akulipe wapi; kwanza hautamuuliza]....mhm. Kidume uaibike!
 
Eti wanafunzi wa vyuo vikuu wana wapenzi wa aina mbili:
1. KISERENGETI BOY- WA KUTOKA NAYE
2. JIBABA- WA MATUMIZI NA KUTUMIA HELA YA JIBABA KUMLISHA KISERENGETI BOY

Jibaba Ukijua hilo utafanyaje utamuacha au..................au serengeti boy ukijua utafanya nini kuwa mpenzi wako ana Jibaba

Nadhani wote wanajitambua! kiserengeti kinajua kuwa lipo jibaba na jibaba linajua kipi kiserengeti, lakini
kwavile hakuna anaemiliki mzigi basi kila mmoja anakula kivyake!!!!
 
kazi kweli kweli, lakini Jibaba linaliwa na kula, while kiserengeti kinakula kotekote-linakula hela ya jibaba na K. Ukimwi je? Maana wote hakuna msafi
 
Hali inatisha sijui tunajenga jamii gani! kitu ya kwanza kwenye fikra za wasomi wetu wa wanaume ni Kei
na wale wanauke ni Em halafu mambo mengine yanafuata. what a life is this!!
 
Namna hii shahada za chupi na ukimwi havitaisha. Usomi gani kujiuza hivi? Si waachane na kusoma wakajipange Ohio na kuuza hizo ndude zao? Shame on all of you who commit this sacrilege. Najua si wote ila wanaofanya hivyo wapo na hawafai. Ajabu anamaliza kusoma na digrii yake ya aibu anakosa kazi. Anaanza upya kutembeza chupi yake. Akipata kazi anajikuta mshahara haumtoshi. Anaanza tena kutembeza ndude yake. Akiolewa mambo yakaenda kombo anaanza kutembeza ndude yake. Akinaswa na aliyemuoa kama ana hasira kama Mura anamkatakata mapanga na mambo yanaishia hapo. Eti na mshenzi kama huyu wakati wa mazishi yake anaombewa aingie peponi badala ya motoni!
 
mapenzi ya chuo ni full raha si mie najiweka kiburudani zaidi hivyo najua tupo wengi tunaenjoy tunda
 
hahahaha! yaani akiwa na wa2 unaona shida ngoja sasa nikupe desa la hakika
unakuwa nao wa kazi hizi hapa
-wa madesa huyu anakuwa na kazi ya kusoma ili akupe desa wewe hasa kwenye timed essay na take home pamoja na groups za semina na projects
-wa salun na shopping zanguo na gharama saidizi, huyu anakugharamia wewe kwa salun na shopping za nguo si haba kama hana hata manzese itamuhusu
-wa outing huyu kazi yake ni wa kukutoa outing for show off. hapa miss tz, diamond night itamuhusu
- wa maisha, huyu ni yule unayepanga kula nae life maisha yako yote yaani wa kuwowa.

mzigo analamba wa maisha wengine kalenda kwa kwenda mbele chezea magwiji weye.
 
Namna hii shahada za chupi na ukimwi havitaisha. Usomi gani kujiuza hivi? Si waachane na kusoma wakajipange Ohio na kuuza hizo ndude zao? Shame on all of you who commit this sacrilege. Najua si wote ila wanaofanya hivyo wapo na hawafai. Ajabu anamaliza kusoma na digrii yake ya aibu anakosa kazi. Anaanza upya kutembeza chupi yake. Akipata kazi anajikuta mshahara haumtoshi. Anaanza tena kutembeza ndude yake. Akiolewa mambo yakaenda kombo anaanza kutembeza ndude yake. Akinaswa na aliyemuoa kama ana hasira kama Mura anamkatakata mapanga na mambo yanaishia hapo. Eti na mshenzi kama huyu wakati wa mazishi yake anaombewa aingie peponi badala ya motoni!

mkuu apo umenene, dawa ya moto ni moto tu, awa viumbe wa namna hii ni kuchomwa moto tu.

mapenzi ya chuo ni full raha si mie najiweka kiburudani zaidi hivyo najua tupo wengi tunaenjoy tunda

Ngoja nianze kukuombea mapemaaaaa! Safari yako nishastuka itakuwa ndefu san!!!!!!! LOL!
 
hahaha lara mpenzi wala usiwe na presha...mie mwenzio nilishastuka mapema kuwa vyuoni full kumegana wala usidhani eti huyu wangu....wako wakati unammega na anakurembulia macho na kuguna kwa raha anayopata....maisha ya chuo matamu jamani loh!!
 
'cost sharing' ndiyo inasababisha,hapa lazima tutaendelea kujiuliza tupo wangapi?!!!
Baada ya shule,lazima aliyezoea ataishi maisha aliyojifunza shule wala hatoachapata; atotoa uchi kupata ajira,atalinda ajira kwa mbinu zile zile,ataongeza kipato kwa mbinu zile zile.!!!
 
All you need to know here ni kwamba girls ni wapumbavu, wenye tamaa nyingi na si watu hata kidogo. Mie jana tu nimetoka kumlipia duu Cafeteria buku 3 kwa kicngzio et angenipa baadaye. Mimi nilimuazma kama best yng, bt kilichokuja kunitibua zaid, the same girl eti naye akamnunulia chakula kidume kingine. Ohooooo, 2lifikishana kwa Warden, alitoa. Haya mambo kwel yapo na hapa UDOM ndo kuziiidi.
 
Dogo umetisha, we hata ukioa wife hawezi leta ujinga
 
Back
Top Bottom