Suma mziwanda kageye
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 213
- 21
Je nivi2/vyet gan unavyotakiwa kwenda navyo chuo cku ya registration?
Chuo chako hakijakwambia? Basi subiri watatoa kupitia Joining'i instrakisheni utajua kila kitu.
na wewe unaenda chuo?instrakishen.
na wewe unaenda chuo?
na wewe unaenda chuo?
Kwanza umechaguliwa chuo gani? Tukishajua tunaweza kukupa msaada ni vitu/vyeti gani unatakiwa kwenda navyo.Je nivi2/vyet gan unavyotakiwa kwenda navyo chuo cku ya registration?
Kwanza umechaguliwa chuo gani? Tukishajua tunaweza kukupa msaada ni vitu/vyeti gani unatakiwa kwenda navyo.
Kwanza umechaguliwa chuo gani? Tukishajua tunaweza kukupa msaada ni vitu/vyeti gani unatakiwa kwenda navyo.
Je umeshapata admission letter?Nimechaguliwa udsm kaka.