University of Toronto - Canada commemorated for the seven individuals killed in Tanzania at Nyamongo

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Approximately 70 people on June 9, 2011 gathered outside the University of Toronto's Munk School of Global Affairs for a commemoration held for the seven individuals killed in Tanzania at African Barrick Gold's North Mara Mine. Peter Munk, who recently donated $35million to the University, is the founder of Barrick Gold.

Public outcry over this violence has been amplified by recent reports that local security/police forces employed by the mine have attempted to ban a memorial ceremony for the deceased. To the horror of many local families, these security forces also stole 5 of the 7 peoples' bodies from the mortuary.

The violence surrounding Barrick's North Mara mine has been ongoing since the company first arrived in the region. Mass displacements, lost livelihoods, contaminated water and the resulting health impacts are at the root of the ongoing violence.

YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏


For more information:
solidarityresponse.net
protestbarrick.net
munkoutofuoft.wordpress.com
 
Huku Tanzania serikali hata haitaki kuongelea mauaji yale . Duh wazungu kweli wanatuona wa ajabu mno .
 
  • Thanks
Reactions: FJM





M k w e r e anajaribu kuficha uvundo wake lakini harufu inasikaka hadi Canada.
 
Last edited by a moderator:
Dah... Jamaa anadonate billion 52.5 ($35 million) kwa chuo sie anatuachia majeneza mitaani

inauma sana uchungu
 
Yaani wazungu wanaonyesha kudhamini wenzetu waliokufa kuliko sisi wenyewe si wehu huu sasa!lissu komaa nao mpaka kieleweke!
 
Inauma Inauma tena inatia machungu. hapa si swala la chama , itikadi, dini au ubepari ni swala la utu. hatuwezi tena kuvumilia, hatuwezi tena kuhimili. lazima tuchukue hatua ndugu zetu. leo hii tukishindwa kuwa msaada kwa hawa ndugu zetu nani atatusaidia kesho. Hatuwezi kumwona Rais anajikausha kama vile hajui hali ya watu wake, hatuwezi tena kumwona Spika akizimisha sauti za kuwatetea ndugu zetu, na hatuwezi tena kuona hakimu akipiga kalenda kesi.

Hatuwezi kuona majemedari (vyombo vya usalama) wakitetea adui, lazima mgodi wa dhahabu ufungwe.
tunatoa saa 24 mgodi ufungwe, la sivyo wananchi TUTAVUA NGUO KUONYESHA TULIKUJA WATUPU TUTARUDI WATUPU, HATUDHAMINI MAENDELEO AU FAIDA KWA GHARAMA YA MAISHA YETU, LA HASHA.

Mnajadili bajeti ya nini wakati watu tunakufa? Naomba wanaharakati muhamishie hii ligi kila panapowezekana ili mgodi by week hii uwe umefungwa. Sasa ni wakati wa dunia kutambua kuwa watanzania nao wana sauti. Watanzania walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha watu wanapata haki zao, kuondoa watu kwenye vifungo vya ukoloni, ubaguzi wa rangi leo hii ni watoto wetu wanakufa kisa ujinga wa watu wachache.

Ha ha ha hiii sio Tz.
 
Yaani wazungu wanaonyesha kudhamini wenzetu waliokufa kuliko sisi wenyewe si wehu huu sasa!lissu komaa nao mpaka kieleweke!
yaah inasikitisha sana kuona wazungu wanaona uchungu na ndg zetu wanaopoteza maisha kwa ajiri ya minerals zetu....harafu viongozi wetu wanajibu kwa nyodo maswali yahayohusu mauaji hakika historia itawahukumu siku moja ,,,,,,wewe mkwereee.....chunga san
 
Shame on the African Barrick Gold's North Mara Mine and the Police Authorities.
 
Halafu spika anamkingia PM kifua ili asijibu maswali ya wabunge kuhusu hayo mauaji.

Hivyo tuna viongozi nchi hii au tuna vikaragosi???
 
Hivi hao barick wametoka wapi? Sio canada? Sio hao wanaotuibia? Ni kweli wanatujali au wanatukebehi? This shows our degree of stupidity.
 
Anne Makinda sikia hii, kama kuna mtu wa karibu wa SPIKA mfikishie huo ujumbe maana inawezekana hata hajui jinsi ya kubrowse. Ila jamani beleave or not, freedom is comming 2morrow
 
Kweli mwaafrika ni laana! Yani tunakubali kutendewa haya hadi wazungu watutetee? Wabunge mbona wapo kimya? Jamani, tusikubali hili hata kidogo! Mbona tunakuwa watu wanaopenda pesa zaidi ya maisha yetu?
 
Approximately 70 people on June 9, 2011 gathered outside the University of Toronto's Munk School of Global Affairs for a commemoration held for the seven individuals killed in Tanzania at African Barrick Gold's North Mara Mine. Peter Munk, who recently donated $35million to the University, is the founder of Barrick Gold.Public outcry over this violence has been amplified by recent reports that local security/police forces employed by the mine have attempted to ban a memorial ceremony for the deceased. To the horror of many local families, these security forces also stole 5 of the 7 peoples' bodies from the mortuary.The violence surrounding Barrick's North Mara mine has been ongoing since the company first arrived in the region. Mass displacements, lost livelihoods, contaminated water and the resulting health impacts are at the root of the ongoing violence.YouTube - ‪Toronto Tanzania Solidarity‬‏For more information:solidarityresponse.netprotestbarrick.netmunkoutofuoft.wordpress.com
yeah got it, nimeona picha zao pale wako serious na maisha ya watu, ila sie wanyumbani tuna sheherekea hatari...dah
 
Hivi hao barick wametoka wapi? Sio canada? Sio hao wanaotuibia? Ni kweli wanatujali au wanatukebehi? This shows our degree of stupidity.
#

Barrick kuja kuwekeza Tanzania waliletwa na Kikwete . Majuzi alitamka mwenyewe kwamba anakumbuka mikutanoi hiyo ya kuwaleta Barrick .JK alisha chota mno akisema watamuuliza maswali ambayo hawezi kujibu .
 
Back
Top Bottom